Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Hapo sasa.. na siamini kama Abdul alikua anaendelea na hiyo biashara. Baada ya masekeseke yote alibadilika kabisa.
Hapana,sina double accountKichwa Kichafu ni nduguyo?
Acha chokochoko dogo.
Sasa tumwamini nani? Mwingine kasema kasoma PCM,wewe unasema arts,combination gani?Huu uongo mwingine. Shamim kasoma arts mkwawa. Alikuwa mkimya na wa kawaida. Hakuwahi kuwa intelligent
Hapo sasa.. na siamini kama Abdul alikua anaendelea na hiyo biashara. Baada ya masekeseke yote alibadilika kabisa.
Usije kukariri kuna sheria ya kumpekua mtu nsugu utakuja kuangamia vibaya. Kuna Cases na Cases za namna hiyo, hata kukamatwa na askari inategemea na kilichoripotiwa mpaka kukamatwa kwako. Mfano ni cases kama hizo za Madawa, Ujambazi na Ugaidi kwa uchache tu, usikae ukategemea kuna siku waende kwa mtuhumiwa na Mjumbe na vitambulisho waje kujitambulisha kwako na wakwambie sababu ya kukuarrest.Sidhani kama kisheria imekaa sawa, kuna muda maalumu wa kumpekua mtu, hilo zigo watasota kama mahabusu mpaka itakapoamuliwa vinginevyo, hapo utasikia tuu ushahidi haujakamilika na kesi haina dhamana acha wasote ndani wameua nguvu kazi ya nchi, japo nnawaonea huruma kwa kuwa ni watu ambao nnawajua kidogo
Ina mwisho mbaya sana sijui kwanini hawajifunzi watuBiashara ya dawa hainaga kustaafu au kuacha vinginevyo ni kifo
Duuh watu mna dataaa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Kajala na wala ngada sijui kuna nini..!!
Huyu Dada ninampenda anavinywele flan Amazing [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Huyu nsembo rafikia sana na Kinje na lemutuz na bashite. Itakuwa wamepishana kiswahili na bash boy. Kawatengenezea zengwe ila watatoka na hakuna atakayefungwa hapo. Wanatikiswa wateme mpunga
Mange anasema Shamim aliingia mjini na lorry la mkaa akitokea Morogoro [emoji23]
huu msimu kupata mdhamana tu ni msala hasa kwa dili hizo na uhujumu uchumi
Namkumbuka mwanangu Emba bortion
Mwanamke anaeolewa na muuza madawa ni jasiri kuliko anaefanya biashara. Unajiingizaje kwenye moto ukiwa unajiona lakini?Alikuwa anafanya sana hii biashara ili kukithi mahitaji ya mkewe. Si unajuwa madada wa mjini kwa ubishoo wa kutambiana na kutaka kujiweka juu ama kuishi maisha ya kina Beyonce huku kiingereza kiiiiiingi kufake maisha.
dogo mmoja Wa kinondoni ni rafiki ake sana na hamidu na msela kwelikweli si mchezo alikuwa anajihusisha na hizi dili na mjanja sana lakini awamu hii amesandaUyu Emba bortion ni nan!?
Huwa namsikia anatajwa sana na Nyandu Tozi kweny nyimbo zake
serious?
mlikiwa class 1 na George (alias Squeezer)? Na alikuwa anaimba na jamaa ake anaitwa Isaac? Mwaka wenu kulikuwa na wakorofi akiwemo Karume!
Alitaka udada wa mjini bibi wee!halafu huyu Abdul alikua anatoka na mboni masimba na Shamim alikua shoga na Mbonie akamuovateki mwenziwe akaolewa yeye
Balaa!! Kibubu kinaweka million 5.3 kwa mwezi shenzy zake
ila huyu nsembo na huyo mke wake inaonekana hawajui kusoma alama za nyakati. walianza kuhusishwa na biashara ya dawa za kulevya tangu enzi za utawala wa jk.
nilitegemea ktk utawala huu wa jiwe usiotabirika wangekuwa wameacha na kuhamia kwenye biashara za halali. acha "wanyoroshwe"