Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Hapo sasa.. na siamini kama Abdul alikua anaendelea na hiyo biashara. Baada ya masekeseke yote alibadilika kabisa.

Alikuwa anafanya sana hii biashara ili kukithi mahitaji ya mkewe. Si unajuwa madada wa mjini kwa ubishoo wa kutambiana na kutaka kujiweka juu ama kuishi maisha ya kina Beyonce huku kiingereza kiiiiiingi kufake maisha.
 
Sidhani kama kisheria imekaa sawa, kuna muda maalumu wa kumpekua mtu, hilo zigo watasota kama mahabusu mpaka itakapoamuliwa vinginevyo, hapo utasikia tuu ushahidi haujakamilika na kesi haina dhamana acha wasote ndani wameua nguvu kazi ya nchi, japo nnawaonea huruma kwa kuwa ni watu ambao nnawajua kidogo
Usije kukariri kuna sheria ya kumpekua mtu nsugu utakuja kuangamia vibaya. Kuna Cases na Cases za namna hiyo, hata kukamatwa na askari inategemea na kilichoripotiwa mpaka kukamatwa kwako. Mfano ni cases kama hizo za Madawa, Ujambazi na Ugaidi kwa uchache tu, usikae ukategemea kuna siku waende kwa mtuhumiwa na Mjumbe na vitambulisho waje kujitambulisha kwako na wakwambie sababu ya kukuarrest.
 
Mange anasema Shamim aliingia mjini na lorry la mkaa akitokea Morogoro [emoji23]

Mange nae kwa visa. Huyu dada kasoma mkwawa high school 1997-1999 life yake ilikua ya kawaida akiwa na gruop lake la G6 dadas na alikua social sana. Alipomaliza alijutahid kujikwamua nakumbuka aliajiriwa ktk mojawapo ya kampuni za Mengi.hakuja mjini kwa lori alishakua wa mjini kitambo.
Hili la madawa limenishtua hakua mtu wa tamaa hizo.
 
Alikuwa anafanya sana hii biashara ili kukithi mahitaji ya mkewe. Si unajuwa madada wa mjini kwa ubishoo wa kutambiana na kutaka kujiweka juu ama kuishi maisha ya kina Beyonce huku kiingereza kiiiiiingi kufake maisha.
Mwanamke anaeolewa na muuza madawa ni jasiri kuliko anaefanya biashara. Unajiingizaje kwenye moto ukiwa unajiona lakini?
 
ila huyu nsembo na huyo mke wake inaonekana hawajui kusoma alama za nyakati. walianza kuhusishwa na biashara ya dawa za kulevya tangu enzi za utawala wa jk.

nilitegemea ktk utawala huu wa jiwe usiotabirika wangekuwa wameacha na kuhamia kwenye biashara za halali. acha "wanyoroshwe"

Utawala wa JK vijana wengi walikuwa wanajihusisha na hii biashara kwa sababu JK alikuwa hafuatilii kutokana na mwanawe kuwa mfadhili mkuu wa makontena ya China.
 
Back
Top Bottom