Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Hapo sasa.. na siamini kama Abdul alikua anaendelea na hiyo biashara. Baada ya masekeseke yote alibadilika kabisa.
Alikuwa anafanya sana hii biashara ili kukithi mahitaji ya mkewe. Si unajuwa madada wa mjini kwa ubishoo wa kutambiana na kutaka kujiweka juu ama kuishi maisha ya kina Beyonce huku kiingereza kiiiiiingi kufake maisha.