Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Salute kwa wana walioingiza hio hela kwenye mizunguko ya kawaida. Kama dogo hamidu ana coaster na bajaji zake zinapiga kazi ina maana hela inaingia tu hata akiacha hizo mambo. Pengine kama ana maduka nayo yatamtoa freshi tu.
So mkuu na dogo hamidu naye arse hole yake inabebaga hizo mambo sio?

Dar Skendoooo halaaaaa
 
Makamanda wanakuja muda mbaya...SAA 8 usiku ni muda wa show huo....

Kweli serikali hailali.
... na hawafanyi hivyo kwa bahati mbaya! Wanajua ni muda ambao nguvu zitakuwa "zimekuishia" hata bastola utakuwa hukumbuki ilipo! It was planned that strategically bro!
 
FA
 
... Mkuu unaonekana kuwa mzee wa mjini haswa! Maana huu uzi umeu-control vilivyo! Unaonekana kujua mambo ya "inside" balaa.
 
... uko sahihi Mkuu. Kuna yule mwingine (marehemu kwa sasa) aliyekuwa na "figure" tatanishi aliingia Dar kama house girl. Alivyobadilika alikuwa gumzo la jiji kabla ya kifo chake chenye utata pia.

Mkuu ukimtaja utakamatwa.?
 
Dida Shaibu ameacha kwenda China?
 

Uswege?
 

Falsafa....ila mkuu naye huyu miaka nyuma kuna kipindi kulikuwa na tetesi zile trip za kwa malikia wakati wanasoma walikuwa wanabeba..huyo jamaa mwenye mzigo yupo Coventry sasa hivi kapata stroke anaumwa dah maisha haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…