Principle ni moja tu usifanye au usiseme vinginevyo ni suala la muda tu🙏🏼Weeee Dada washamba wanabadilika aisee hata kama katoka Nanjilinji juzi. Akija mjini mission ni moja tu "Faking it till they make it"....wako wengi tunawaona.
Ila daaah kwa heshima aliyokua amejiwekea Shamim jamani atafanya wasichana wanaomuangalia kama Role model wakate tamaa.
Zamani walikuwa wanapekj kwenye mabegi, baada ya mashine kuja imekuwa ngumu, ila zile mashine hazina uwezo wa kuscan tumbo la binadamu, isitoshe ukishaingia kwenye network hii lazima uwajywe waganga wanaoujuwa uchawi haswa, unaweza kupita airport maafisa usalama wanakuona mzungu wakati ni mweusi tii, unatobowa tu.Nashukuru sanaa kwa elimu hiii. Sijuwa najua kuwa kuna mfungaji nilijua huwa ziatoka hivyo hivyo kiwandani. Pale airport wanapopita mashine huwa hazitambui kuwa kuna mzigo tumboni? Maana naona kuna wanaokamatwa wengine wabahatika au ni sual la bahati nasibu?
....Msije tu wiki ijayo mkatuambia kumbe kilichokamatwa sio Heroin bali Unga wa Dengu bibie alikuwa anataka kumpikia mumewe visheti !! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akatoka akakimbilia zake South..
Alitaka udada wa mjini bibi wee!halafu huyu Abdul alikua anatoka na mboni masimba na Shamim alikua shoga na Mbonie akamuovateki mwenziwe akaolewa yeyeHuyu dada aliolewa ndoa ya kwanza na mwanaume mmoja mstaarabu sana. Walibahatika kupata mtoto wa kike. Yeye ndiye chanzo cha ndoa kuvunjika.
Sasa mwana kulitafuta mwana kulipata.
Na kuna picha Bashite kapiga na Kanyau huko south miezi ya hivi karibuni halafu ikarushwa insta..dah!Asante Mkuu ...tuko pamoja ... mfano mdogo ni daudi kanyau ... anafahamika wazi kuwa ni drugs dealer guru ..lakini yupo salama mpaka hii leo "
Ni kwa sababu hajawauzi vya kutosha wa kuu waliopo kwenye system
wewe tumesoma ote Morogoro Secondary! Shamim alinizidi darasa 1! HMater alikuwa babu Mananga! Mbabe wa Bios alikuwa Kunambi na Maths Mr. Mkami! Shamim alikuwa darasa 1 na mdogo wa Basila Mwanakuzi akiitwa Nasib! Na wewe huo mwaka wenu mlikuwa na Msanii SQUEEZER!Nimesoma na Shamimu Bungo PS akiwa darasa la saba mimi nipo darasa la tano lkn pia nilimkuta Morogoro Sec. Ki ukweli ni dada anayependa mambo makubwa tangu akiwa shule ya msinhi. Sishangai kwa haya ninayo yasikia kumuhusu. Ni dada wa mujini hasaa tangu ajiwa binti mdogoo.
Alhamis au Ijumaa kuna screenshot ilikua inatembea mitandaoni kuhusu Kanyau. Kuna mtu anamtafuta kwa gharama yeyoteBasi nilijua bado yuko ndani, maana simsikii kabisa.
Watoto wa mjini mna vimisemo!Huyo siku hizi kawa kama CD (,changudoa alekosa soko).Nyuma hatikisiki wala mbele hachezi.
Kuna hela ndefu,isiyo na mawazo. Ndio mademu wengi wanaojiita mastar wanapenda hizo short cut. Hawajali kitu kingine zaidi ya mkwanja usio mawazoDuuh watu mna dataaa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Kajala na wala ngada sijui kuna nini..!!
Bungo ps Morogoro?Nimesoma na Shamimu Bungo PS akiwa darasa la saba mimi nipo darasa la tano lkn pia nilimkuta Morogoro Sec. Ki ukweli ni dada anayependa mambo makubwa tangu akiwa shule ya msinhi. Sishangai kwa haya ninayo yasikia kumuhusu. Ni dada wa mujini hasaa tangu ajiwa binti mdogoo.
Alhamis au Ijumaa kuna screenshot ilikua inatembea mitandaoni kuhusu Kanyau. Kuna mtu anamtafuta kwa gharama yeyote
Moro product ...nimetoka moro pia ".... shule ya msingi Niki so many kule ..ila 0level na Advance nilisoma darwewe tumesoma ote Morogoro Secondary! Shamim alinizidi darasa 1! HMater alikuwa babu Mananga! Mbabe wa Bios alikuwa Kunambi na Maths Mr. Mkami! Shamim alikuwa darasa 1 na mdogo wa Basila Mwanakuzi akiitwa Nasib! Na wewe huo mwaka wenu mlikuwa na Msanii SQUEEZER!
Ndio...Bungo ps Morogoro?
Niliiona daahh ....ile ni aibu kubwa sana kwa kiongozi kuwa na marafiki wanaohusishwa na biashara haramuNa kuna picha Bashite kapiga na Kanyau huko south miezi ya hivi karibuni halafu ikarushwa insta..dah!
Sawa mama.Ndio...
Huyu dada aliolewa ndoa ya kwanza na mwanaume mmoja mstaarabu sana. Walibahatika kupata mtoto wa kike. Yeye ndiye chanzo cha ndoa kuvunjika.
Sasa mwana kulitafuta mwana kulipata.