Norton82
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 721
- 622
Principle ni moja tu usifanye au usiseme vinginevyo ni suala la muda tu🙏🏼Weeee Dada washamba wanabadilika aisee hata kama katoka Nanjilinji juzi. Akija mjini mission ni moja tu "Faking it till they make it"....wako wengi tunawaona.
Ila daaah kwa heshima aliyokua amejiwekea Shamim jamani atafanya wasichana wanaomuangalia kama Role model wakate tamaa.