Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Ndiyo mfuasi[emoji23][emoji23] ila mimi nilimpa rafiki yangu na funguo ya rafiki yangu ninayo mimi.
Hahaha unaonekana nawewe ni mmoja wa wafuasi wa kibubu! Mtafata funguo zenu selo! [emoji23][emoji23][emoji23]