Wale nazani huko waliko kama wamepata hii habari ya hukumu basi wameshajiharishiaGramu 400 kifungo cha maisha
Sijui wale masharobalo waliokutwa na kilo 30 itakuwaje
Nadhani ni pigo kwa familia
Mimi sipendi tabia ya watu kutafuta huruma na kutupa lawama, hii tabia inaonesha how irresponsible people are.... Ukifanya kosa iwe dhambi au jinai jua kuwa kuna hukumu yake siko moja, ikifika pokea kikombe hicho na uachilie roho.Mkuu hakika umenena, huwezi mhurumia Shamimu as if ulikuwa body guard wake. Kama alihusika abebe msalaba wake. Asitafute huruma.
Kifungo cha maisha???siyo ndio njia ya kukata rufaa ili waachiwe.
Wanafarijiana na Mashangazi wake, wapuuzi sana. Huwezi kupinga kila kitu sababu tu huna maslahi nacho moja kwa moja. Hili suala la mpango limemshushia heshima sanaAnasema Mpango hana historians chama.
Nani kakudanganya adhabu haipungui kama una watoto wanakutegemea?? Sheria inayo huruma ndio maana kuna wakati wa mitigation. Kuna sababu zinazofanya adhabu ipungue. Hapo itakua inaangaliwa mitigating factors vs aggravating factors na sheria inatoa ukomo gani wa adhabu kwa kosa hilo lilofanywa.Adhabu haipunguzwi kwa kuwa eti ana Watoto. Ingekuwa hivyo kile mwenye Watoto atakuwa anafanya makosa au atakuwa anauza madawa na akikamatwa anasingizia Watoto
Sheria haitoi huruma, inatoa haki
Kama alijua ana watoto kwa nini akauze madawa?
Thamani ya kufungwa inakuwa haipo.kwa sababu ni wanandoa basi wapewe chumba kufurahia ndoa huko kwenye makazi yao mapya
Bonge la harusAbdul Nsembo na Shamim Mwasha
Full story ya maisha ya wawili hawa inasimuliwa na wenyewe bwana na bibi harusi ktk Video wedding / reception na walikutana vipi wawili hawa ambao leo pia mbali ya pingu za maisha pia wameishia kwa pamoja kuhukumiwa kwenda jela maisha. End of the Story.
Si alifata mihela akamuacha chokambayadah hapoo majutoo ndo yataanza. mwanamke nae atajuta kwanini alichukua bwana wa mtu kwanini alimuacha mume wake wakwanza. usiku wa leo utakuwa mrefu sana kwake.
marafiki watakutembelea tembelea baada ya miaka kadhaa wanakusahau tena kama watakuwa wanahamishwa hamishwa magereza ndo biashara imeisha.
polee kwa familia polee kwa watoto. hatima ya maisha yao imeishia hapoo.
Mungu amlipe Makonda na asimlipe aliyekua anauza unga. Huyo Mungu wa wapi? Shamim na yeye kwanini alimficha mume wake. Wangekua na akili mume angejitokeza mapema mkewe asingehusika kwenye hii kesi. Ona sasa wanafungwa maisha wote. Watoto wanabaki kuteseka. Mashoga watawasaidia wataenda watachoka ukizingatia vitoto ndio kwanza viko primary
Umeanza kuwafahamu lini hawa watu mkuu? unaishi wapi kwanza.Dah maisha haya 🙌
na hapo huwezi jua eiza ni kweli wayafanya hayo ama kuna binadamu aliamua kuwafanyia Ivo kumwekea kwenye usafiri wao awachome/awakomoe.... no one knows.
hatari sana haya maisha ,kikubwa tusijudge moja Kwa moja maana si wote waendao jela wana makosa Ile kikwelikweli.
Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
Nakwambia hivi tunza kweny kumbukumbu yako rufaa wanashinda narudia tena rufaa wanashinda mm ndio naondoka hapa mahakaman ww endelea kupiga punyeto zakoSawa hawakuwashikia hiyo ndude na ndio maana wamehukumiwa.,.... Ukipanda bange utavuna punyeto.
Nani kakudanganya adhabu haipungui kama una watoto wanakutegemea?? Sheria inayo huruma ndio maana kuna wakati wa mitigation. Kuna sababu zinazofanya adhabu ipungue. Hapo itakua inaangaliwa mitigating factors vs aggravating factors na sheria inatoa ukomo gani wa adhabu kwa kosa hilo lilofanywa.
Kuna mtifuano hadi basi. Shamimu aliacha mine wake, akakae kupita Bwana wa rafiki yake hadi ndoa. Shamimu machachari kweli kweli. Hana tofauti na joka la makendeza.Tena nasikia nsembo alikuwa bwana wa shoga ake shamimu (mboni) ndio bibie akaolewa naye kabisa....Kama ni kweli mboni amshukuru Mungu kumuepusha na Shari hii
Ww unajuaje kuwa hawauzi acha hizoInauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
Hata manzi wake kapauka mnooo kwa Sasa jinsi alivyo hata nikipewa bure simkubaliYaani amekonda kawa Kama mzee! Jela sio pazuri
Huwa wapo wapo tu ? Maisha yanakuwa mabaya sana..Mfungwa wa maisha hafanyi kazi