Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Mkuu hakika umenena, huwezi mhurumia Shamimu as if ulikuwa body guard wake. Kama alihusika abebe msalaba wake. Asitafute huruma.
Mimi sipendi tabia ya watu kutafuta huruma na kutupa lawama, hii tabia inaonesha how irresponsible people are.... Ukifanya kosa iwe dhambi au jinai jua kuwa kuna hukumu yake siko moja, ikifika pokea kikombe hicho na uachilie roho.
 
Adhabu haipunguzwi kwa kuwa eti ana Watoto. Ingekuwa hivyo kile mwenye Watoto atakuwa anafanya makosa au atakuwa anauza madawa na akikamatwa anasingizia Watoto
Sheria haitoi huruma, inatoa haki
Kama alijua ana watoto kwa nini akauze madawa?
Nani kakudanganya adhabu haipungui kama una watoto wanakutegemea?? Sheria inayo huruma ndio maana kuna wakati wa mitigation. Kuna sababu zinazofanya adhabu ipungue. Hapo itakua inaangaliwa mitigating factors vs aggravating factors na sheria inatoa ukomo gani wa adhabu kwa kosa hilo lilofanywa.
 
Abdul Nsembo na Shamim Mwasha
Full story ya maisha ya wawili hawa inasimuliwa na wenyewe bwana na bibi harusi ktk Video wedding / reception na walikutana vipi wawili hawa ambao leo pia mbali ya pingu za maisha pia wameishia kwa pamoja kuhukumiwa kwenda jela maisha. End of the Story.
Bonge la harus
 
Dah! wangepunguziwa adhabu hasa ukiangalia wanafamilia nyumban jaman inayowategemea. Watoto watabaki kama yatima nawaonea huruma watto, makosa ya wazazi wao yanawagharimu
 
dah hapoo majutoo ndo yataanza. mwanamke nae atajuta kwanini alichukua bwana wa mtu kwanini alimuacha mume wake wakwanza. usiku wa leo utakuwa mrefu sana kwake.


marafiki watakutembelea tembelea baada ya miaka kadhaa wanakusahau tena kama watakuwa wanahamishwa hamishwa magereza ndo biashara imeisha.

polee kwa familia polee kwa watoto. hatima ya maisha yao imeishia hapoo.
Si alifata mihela akamuacha chokambaya
Hapo kuna la kujifunza

Ova
 
Mungu amlipe Makonda na asimlipe aliyekua anauza unga. Huyo Mungu wa wapi? Shamim na yeye kwanini alimficha mume wake. Wangekua na akili mume angejitokeza mapema mkewe asingehusika kwenye hii kesi. Ona sasa wanafungwa maisha wote. Watoto wanabaki kuteseka. Mashoga watawasaidia wataenda watachoka ukizingatia vitoto ndio kwanza viko primary

Mkuu unapropose Shamimu angemsaliti mmewe.
 
Dah maisha haya 🙌
na hapo huwezi jua eiza ni kweli wayafanya hayo ama kuna binadamu aliamua kuwafanyia Ivo kumwekea kwenye usafiri wao awachome/awakomoe.... no one knows.
hatari sana haya maisha ,kikubwa tusijudge moja Kwa moja maana si wote waendao jela wana makosa Ile kikwelikweli.
Umeanza kuwafahamu lini hawa watu mkuu? unaishi wapi kwanza.
 
Sawa hawakuwashikia hiyo ndude na ndio maana wamehukumiwa.,.... Ukipanda bange utavuna punyeto.
Nakwambia hivi tunza kweny kumbukumbu yako rufaa wanashinda narudia tena rufaa wanashinda mm ndio naondoka hapa mahakaman ww endelea kupiga punyeto zako
 
Nani kakudanganya adhabu haipungui kama una watoto wanakutegemea?? Sheria inayo huruma ndio maana kuna wakati wa mitigation. Kuna sababu zinazofanya adhabu ipungue. Hapo itakua inaangaliwa mitigating factors vs aggravating factors na sheria inatoa ukomo gani wa adhabu kwa kosa hilo lilofanywa.

....kama ni rahisi hivyo kwa upande wa ngada, kila dada atazaa watoto

then ata push ngada kama kawa na kula bata, maana anajua akidakwa atatumia kigezo cha kua 'nna watoto nahitaji kuwalea, naomba adhabu ipungue'

mahakama sio wajinga kiasi icho
 
Tena nasikia nsembo alikuwa bwana wa shoga ake shamimu (mboni) ndio bibie akaolewa naye kabisa....Kama ni kweli mboni amshukuru Mungu kumuepusha na Shari hii
Kuna mtifuano hadi basi. Shamimu aliacha mine wake, akakae kupita Bwana wa rafiki yake hadi ndoa. Shamimu machachari kweli kweli. Hana tofauti na joka la makendeza.
 
Back
Top Bottom