Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Na kweli naona mtoto anaweza jidhulu.. alafu tukapoteza chombo.. acha tuweke mapesaa ipigwe tunnel moja matata... 😀😀.. na ni rahisi tufanyw mchakato wa kupata ramani ya pale ya mfumo wa maji taka. Tunapitia humo humo 😀😀Ila braza fanya fasta ulete hizo dollar hapa tuanze mkakati maana huyu naona kuna uwezekano wa kujiua huko gerezani. Trust me utasika mrembo amekutwa kajinyonga na khanga.
Hapa **** options mbili mzeya ya kujenga tunnel au kama vipi tutue na helicopter hapo gerezani
Hawafungwagi haoJela pia ni sehemu ya maisha, Tunasubiri pia kesi kuunguruma za wale walioficha 'mabilioni' ya umma vyumbani mwao !
Mie sio ngumbalo unapoleta kwangu issue za digital au cyber au hayo ma CCTV nayajua mkuu. Ndio maana nikasema wanasheria wake ilibidi wakae na wataalamu kuwapa dondoo.. CCTV camera ina aina ya ushahidi ambao huchomoki na kuna aina ya ushahidi wa CCTV unachomoa hata kama kweli. Siungi mkono wao kufanya biashara haramu, acha wafungwe ila Shamimu nitamtoa tuendeleze bataHivi unafikiri ni rahisi get away kama unavyo fikiri na kuandika hapa? Hahahaha
Kale katoto kake ka mwisho ka kiume hata hakajafaidi wazazi wake masikiniDaaah pole kwa wanae jamani,
Kweli wakikata rufaa watachomokaNakwambia hivi tunza kweny kumbukumbu yako rufaa wanashinda narudia tena rufaa wanashinda mm ndio naondoka hapa mahakaman ww endelea kupiga punyeto zako
Mahakama hafanyii kazi maneno,usharudi ndo hutumika kwahiyo wamevuna walichokuwa wamepandaMakonda na team yake waliwaekea Madawa ya kulevya kweli nsembo alikuwa anauza Unga na sio shamimu Sema nsembo hakuwa na Unga ndani kawekewa na kina makonda na team yake inauma sana na Mungu atamlipa makonda na uzao wake
It's good to hv a leap of faith.....Nimemsikia akiwapa moyo ndugu zake kuwa wasiwe na wasiwasi haya ni maamuzi ya Jaji Mmoja.
Sijui anajipa moyo kwa lipi..!
Huu ndio ungese na unafiki wa sie watz.Mungu aliye mwingi wa rehema atawasaidia kutoka!
Watoto wao [emoji24][emoji24]
Mungu atawajalia atatoka huyo dada InshaAllah.
In God we trust always.
Mungu hufanya njia pasipo na njia.
Hapa ndiyo anakosea, kuna vitu havipaswi kutamka. Wale kule juu wakipata hayo maneno wanaweza jenga stigma;Nimemsikia akiwapa moyo ndugu zake kuwa wasiwe na wasiwasi haya ni maamuzi ya Jaji Mmoja.
Sijui anajipa moyo kwa lipi..!
Ww kiboko kwa kuongea hadithi😀😀😀😀😀 akitolewa anaenda pigwa na upepo wa dubai kwa miezi mitatu, mtoto ajisafi kwa utuli na marashi.. baada ya hapo ni kupelekewa motooo tuuu..
Kumbe ndio ivyo ? Noma sanaaaShamimu alimuacha mumewe wa ndoa na kuja kuolewa na muuza dawa, kwa sababu tu jamaa muuza dawa ana mshiko
Mkuu maisha ndio haya haya .. tunaelekea ijumaaa kuu.. acha tupige mastory. Ya Adbdu na Shamimu imeishakuwa, watumikie adhabu wasubiri muujiza wa Mungu tu kama watapa msamaha ingaliwa wakiwa na nguvu au ndio paka lyamba 😀😀Ww kiboko kwa kuongea hadithi
EeShamimu alimuacha mumewe wa ndoa na kuja kuolewa na muuza dawa, kwa sababu tu jamaa muuza dawa ana mshiko
Wana magorofa kibao mbeziWametaja gari tu ,ina maana nyumba walikuwa hawana?
Huyu inabidi apewe wito wa kufika kituoni atoe maelezo, anaweza saidiaUlijuaje kuwa aliwekewa?
Mkuu sheria zimebadilishwa, sasa hivi hata ukisafirisha kiroba cha mirungi hukumu yake haipungui miaka 20.Hukumu iliyotolewa ni kali sana. Ningekua Hakimu ningewapunguzia kidogo
Kabisa. Anatoa maelezo ya kujichanganya sana. Mara anauza lakini haweki ndani!Huyu inabidi apewe wito wa kufika kituoni atoe maelezo, anaweza saidia