Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Ila braza fanya fasta ulete hizo dollar hapa tuanze mkakati maana huyu naona kuna uwezekano wa kujiua huko gerezani. Trust me utasika mrembo amekutwa kajinyonga na khanga.

Hapa **** options mbili mzeya ya kujenga tunnel au kama vipi tutue na helicopter hapo gerezani
Na kweli naona mtoto anaweza jidhulu.. alafu tukapoteza chombo.. acha tuweke mapesaa ipigwe tunnel moja matata... 😀😀.. na ni rahisi tufanyw mchakato wa kupata ramani ya pale ya mfumo wa maji taka. Tunapitia humo humo 😀😀
 
Hivi unafikiri ni rahisi get away kama unavyo fikiri na kuandika hapa? Hahahaha
Mie sio ngumbalo unapoleta kwangu issue za digital au cyber au hayo ma CCTV nayajua mkuu. Ndio maana nikasema wanasheria wake ilibidi wakae na wataalamu kuwapa dondoo.. CCTV camera ina aina ya ushahidi ambao huchomoki na kuna aina ya ushahidi wa CCTV unachomoa hata kama kweli. Siungi mkono wao kufanya biashara haramu, acha wafungwe ila Shamimu nitamtoa tuendeleze bata
 
Daaah pole kwa wanae jamani,
Kale katoto kake ka mwisho ka kiume hata hakajafaidi wazazi wake masikini

Hata hawa wawili wa kike mapacha nao bado wadogo mnoo mnoo[emoji22]

Asee
 
Makonda na team yake waliwaekea Madawa ya kulevya kweli nsembo alikuwa anauza Unga na sio shamimu Sema nsembo hakuwa na Unga ndani kawekewa na kina makonda na team yake inauma sana na Mungu atamlipa makonda na uzao wake
Mahakama hafanyii kazi maneno,usharudi ndo hutumika kwahiyo wamevuna walichokuwa wamepanda
 
Mungu aliye mwingi wa rehema atawasaidia kutoka!

Watoto wao [emoji24][emoji24]

Mungu atawajalia atatoka huyo dada InshaAllah.

In God we trust always.

Mungu hufanya njia pasipo na njia.
Huu ndio ungese na unafiki wa sie watz.
Mungu hakubaliani na mambo hayo kamwe.

Mungu usamehe dhambi zako pale unapotubu lakini kamwe haondoi madhara ya dhambi zako.

Hao ndio imeshakula kwao...hapo ni kutafuta khanga na kujinyonga basi.
 
Niwape pole tu shanimu na pia Mungu awakuze wanawe,hyo ni mitihani ya duniani
 
Duu!!hatari sana.

Hivi ukiwa umelala kwako usingizini pia unaweza kushitakiwa kwa kusafirisha madawa?.

Mungu atawalaani wote mliowabambikizia kesi binadamu wenzenu.

Tanzania ni moja kati inchi yenye watu katili na wenye roho mbaya sana duniani

Sasa tuone huyo aliyekutwa na kiloba cha US $ atafungwa miaka mingap?
 
Back
Top Bottom