Quavohucho
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 798
- 2,028
Nitunge uwongo upi na ili unisaidie nini sasa we ma.laya mzee muuza chapati na u.chi?Weww ndio ukajinyee ulale kukaa kutunga uwo kisa hujulikani [emoji16][emoji38]
Wale sio kwamba walishanyofolewa vichwa na wachina
Hawajanyanganyana ila si unajua Mboni alikuwa shamba la bibi,sasa Abdul nae alipita kisela tu.Eti nikakaa nao na kupiga story blah blah, wewe sikia walinyang'ana bwana hao
Kama hutaki kajiny.ee ulale
Hahahahahaga umenichekesha....tuendelee na yetu acha hasiraNitunge uwongo upi na ili unisaidie nini? sasa we ma.laya mzee muuza chapati na u.chi
Wewe ndo maana unatukanwaga humu, sababu ya kimbelembele na kudandia visivyokuhusu
Ndo maana uliambiwa una michapati myeusi michafu kama wewe watu hawazitaki
Domo chafu, michapati mibaya, lione kazi kujichekesha chekesha mfyuuu..
Xi jing Ping ata kuwa analo file lao mezan kwake
Vick unanichamba na mimi
Huwezi amini na mimi niligeuka kuwa kilaza asee na alinikamata kwelikweli
Pole mwaya,kuna watu walijiunderestimate. Maana mwenzao anaweka million kwa wiki,siku. Wenyewe hata elfu kumi tu ni shida. Watu wakawa wanajidharau. Kumbe mwenzao ni drug dealer.Vick unanichamba na mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
Huwezi amini na mimi niligeuka kuwa kilaza asee na alinikamata kwelikweli
Choose your companion wisely!
Mboni Mhita au Mboni gani?Hawajanyanganyana ila si unajua Mboni alikuwa shamba la bibi,sasa Abdul nae alipita kisela tu.
Kule walihukumiwa mzee mtoto alirudishwa bongo
Ova
Nitunge uwongo upi na ili unisaidie nini? sasa we ma.laya mzee muuza chapati na u.chi
Wewe ndo maana unatukanwaga humu, sababu ya kimbelembele na kudandia visivyokuhusu
Ndo maana uliambiwa una michapati myeusi michafu kama wewe watu hawazitaki
Domo chafu, michapati mibaya, lione kazi kujichekesha chekesha mfyuuu..
Hawajanyanganyana ila si unajua Mboni alikuwa shamba la bibi,sasa Abdul nae alipita kisela tu.
Unajua kipindi kile cha cha uhujumu uchumo andikeni barua ma makosa haya nayo yaliwekwa kwenye kundi hilo mdio wengi waliamua kuandika barua baadae watu wa madawa wakalataliwa ndio tatizo hapo lilipokuja ..
Mungu amsaidie shamim atokea huyo mumewe hata akibaki huko sawa tu yeye ndio sbb ya yote haya
Mkuu huwezi jua hayp madawa yamepoteza maisha ya vijana wangapi...Hukumu iliyotolewa ni kali sana. Ningekua Hakimu ningewapunguzia kidogo
Alimuona mme wake wa kwanza fala hana kitu akamfata mwenye hela
Ova
Naona watu wanajadili kwa mioyo zaidi kuliko akili. Nilitarajia watu waoneshe kisheria bi dada kaonewaje. Ila naona ni emotions ambazo hata jaji atakuwa alikuwa nazo haswa akijua watuhumiwa ni wazazi.Chief, when you are an accomplice, the sentence is not forgiven nor forgotten! It’s either minimized or co currently!
History ya Nsembo iko wazi sana kuhusu ushiriki wake katika uuzaji wa dawa haramu ! Shamimu knew this and she kept it a secret!
Nilikuwepo ndioItakuwa ushahidi umeonyesha na yeye anahusika la sivyo asingehukumiwa..wangapi wanafungwa ila wake zao wapo nje?..sisi raia huku nje hatuwezi elewa labda kama ulikuwepo mahakamani
Naona watu wanajadili kwa mioyo zaidi kuliko akili. Nilitarajia watu waoneshe kisheria bi dada kaonewaje. Ila naona ni emotions ambazo hata jaji atakuwa alikuwa nazo haswa akijua watuhumiwa ni wazazi.
Ila choices have consequences!
Chief, when you are an accomplice, the sentence is not forgiven nor forgotten! It’s either minimized or co currently!
History ya Nsembo iko wazi sana kuhusu ushiriki wake katika uuzaji wa dawa haramu ! Shamimu knew this and she kept it a secret!
Hapana! Shamimu kaacha ndoa yake ya kwanza kwa sababu mume alioa mke mwingine (pengine kinyume na kiapo kati yao) ?!
Kampata Nsembo way after ameachana na mume wake wa kwanza wa ndoa na kuwa ‘dada wa mujini’!