Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,613
Maisha ni rahisi sana ukijua kwamba unapaswa kuweka mipango mikubwa, kufanya kazi kwa bidii na kumwachia Mungu kwenye ndoto kutimia ama la.If you ask me to define Shamimu, I will tell you this; A home girl type with dreams to conquer the world!
Unfortunately she took it by hooks or crooks! Ikamponza!
Maisha ni Fumbo la Imani! Tulizingatie kabla ya tamaa zetu!
Sometimes tunaota ukweli, wakati mwingine ujinga na kiburi na wakati mwingine ni ndoto zisizoweza timilika. Ila ukijua kwamba kufa maskini sio laana unakuwa una relax sana hata unavyo fight.
Kuna mstari wengi hawaujui au wanaudharau ila ni dira muhimu sana kwa fighters wote:
1 Timotheo 6:10
"Maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani, na kujichoma kwa maumivu mengi"
Tafuta fedha, tumia pesa kwa akili lakini ogopa kupenda pesa. Ukiisha ipenda pesa basi una uhakika wa kuacha imani kama ilikiwepo na mwisho ni kujichoma kwa maumivu mengi sana!