Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

If you ask me to define Shamimu, I will tell you this; A home girl type with dreams to conquer the world!


Unfortunately she took it by hooks or crooks! Ikamponza!

Maisha ni Fumbo la Imani! Tulizingatie kabla ya tamaa zetu!
Maisha ni rahisi sana ukijua kwamba unapaswa kuweka mipango mikubwa, kufanya kazi kwa bidii na kumwachia Mungu kwenye ndoto kutimia ama la.

Sometimes tunaota ukweli, wakati mwingine ujinga na kiburi na wakati mwingine ni ndoto zisizoweza timilika. Ila ukijua kwamba kufa maskini sio laana unakuwa una relax sana hata unavyo fight.

Kuna mstari wengi hawaujui au wanaudharau ila ni dira muhimu sana kwa fighters wote:


1 Timotheo 6:10
"Maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani, na kujichoma kwa maumivu mengi"

Tafuta fedha, tumia pesa kwa akili lakini ogopa kupenda pesa. Ukiisha ipenda pesa basi una uhakika wa kuacha imani kama ilikiwepo na mwisho ni kujichoma kwa maumivu mengi sana!
 
Dah aisee inasikitisha sana, hasa nikiwaza watoto wanabaki kama yatima.

Kwa vyovyote wapo ndugu na jamaa waliolelewa au kusaidiwa na Abdul Nsembo na Mkewe, chondechonde ni muda sasa wa kurudisha fadhila kwa kuwalea na kuwatunza watoto hadi watakapoweza kujimudu. Nguvu ielekezwe hasa kwenye kuwawezesha watoto kielimu.

Leo sina mood kabisa kwa sababu ya hii hukumu hasa nikiwaza watoto wao, nxt time nitarudi nisimulie vile tulihudhuria Harusi yao i went kama invitee sikujua lolote lkn matukio ya mule yalitosha kuamini jamaa alikuwa na pesa rundo bila kujua chanzo, sikuwa na haja kwa sababu ndo niliwajua pale kwa harusi. Fun thing ni kwamba mwana mmoja wa kiswahili alikuwa anakusanya vinywaji anaweka kwenye gari lake...asbh nadhani alifungua bar maana spacio new model ilijaa mapombe kwenye Buti ya gari yake.
Ukianzisha hyo thread Unitag mzee baba.
 
Aseh, inasikitisha sana, mimi simlaumu sana bwn Nsembo, maana wakati mwingine presha ya maisha ukiwa na moyo mwepesi inakufanya uingie hata ktk shughuli haramu ili ufanikiwe maisha bora.

Mungu awape ustahimilivu, wakibahatika kunusurika ktk rufaa basi waachane na madawa ya kulevya maana yanaleta athari kubwa sana kwa vijana.
 
...Ndio nami ninapochoka hapo Mkuu! Gramu chache hizo alizokamatwa Nazo ndio kifungo cha Maisha???
Hawa yunaowasikia kuwa wanavusha kwa magunia na makonteina?
We ndio hujui hizo gramu Ni karibia nusu kilo

Inaweka miksiwa na mauchafu mengine watapata unga mchafu wa kushato kuwauzia Kaka na dada zako huko kitaa na Waka tengeza mkwanja wa maana .

Halafu wakaja kukuringishia na vibubu ,nguo za brand na ndinga za kali

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom