Najua hamtaki kuiona lakin ndo hivyo
.Sibishan na watu wa vigunguti Mimi . Wazaramo waliotupwa huko mkuranga.
Hiv kuna nyuzi ngap za kusifia moshi? Wao ndo wanatumia nguvu nyingi kuaminisha umma mpaka baadhi ya watu hujiona mbwa( sio chochote) mbele Yao( mfano wew) lakin wakijitokeza wababe wao ( wahaya) hukimbia Uzi na kuishia kupost nyumba ya mengi na wazungu wavaa chupi wanaokwenda kutalii mlima
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahaya hawajawahi kujua matumizi sahihi ya pesa,Unajua Muleba ni vijijini lakini?? Usije kuwa unapalingajisha na miji kiongozi. Chagua halmashauri ya wilaya iliyopo vijijini kwenye mikoa yako ufananishe na Muleba. Unafikiri watu wa burudani ni wajinga kuleta matamasha yote hayo Bukoba na Muleba??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachaga naomba muwaache wahaya kwa sifa, hamtowaweza (ni sifa yao)
Kiufupi Watanzania tunajua mwenye akili timamu hawezi kuifananisha Moshi na Bukoba au miundo mbinu ya Moshi vijijini na Muleba+Bukoba vijijini.
Takwimu za mwaka wa pesa 2016/17 Kagera ilikuwepo kwenye top 5 ya mikoa Masikini TZ, huku Kilimanjaro, Arusha, na Manyara (Kaskazini kiujumla) ikiwa top 5 ya mikoa tajiri TZ Mikoa mitano maskini zaidi Tanzania hii hapa. Na takwimu nyingine zilizofwata hadi sasa K'njaro ipo top 3 ya mikoa tajiri TZ.
Naona Moshi imeongoza tena kwa kuwa mji msafi TZ 2019, kongole kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona INRI huko juu amesha posti picha nyingi tu akiwa huko kwao Marangu.Kitu umesahau ni kuwakumbusha wachaga wenzio watupostie picha za shamra shamra za Krismas kama walivyoanzisha uzi[emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda huu nipo Mwika(kijijini) kesho nikipata nafasi nitashare picha kazaa, asee huku lami hadi vichochoroni.... Ukisikia watu wamejenga makwao ndio huku, hakuna nyumba za hovyoKitu umesahau ni kuwakumbusha wachaga wenzio watupostie picha za shamra shamra za Krismas kama walivyoanzisha uzi[emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vituko hivi, yaani hizo ndo shamra shamra za kutype kwa nyodo hivyo! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]Hizi ndo shamra shamra za X mass zenyewe. Tunakula vyombo mdogo mdogo hapa Kashenye, Kanyigo, Missenyi, Kagera, Tabzania muda huu!! Wale wa Kilimanjaro endeleeni kutafuta picha za kwenye website[emoji38][emoji38]View attachment 1298625
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa utapalinganishaje.Mbona INRI huko juu amesha posti picha nyingi tu akiwa huko kwao Marangu.
Kitu ambacho hujajua wachaga na wanakaskazini wote kwa ujumla hawanaga tabia ya kupiga piga picha hovyo na kulumbana kwenye mijadala ya hovyo
Ukweli utabaki palepale, huwez linganisha miundo mbinu ya Moshi vijijini na (Muleba+Bukoba vijijini+Karagwe) au kulinganisha Moshi na Bukoba.
ova.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo hapa nikisubiri.Muda huu nipo Mwika(kijijini) kesho nikipata nafasi nitashare picha kazaa, asee huku lami hadi vichochoroni.... Ukisikia watu wamejenga makwao ndio huku, hakuna nyumba za hovyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona INRI huko juu amesha posti picha nyingi tu akiwa huko kwao Marangu.
Kitu ambacho hujajua wachaga na wanakaskazini wote kwa ujumla hawanaga tabia ya kupiga piga picha hovyo na kulumbana kwenye mijadala ya hovyo
Ukweli utabaki palepale, huwez linganisha miundo mbinu ya Moshi vijijini na (Muleba+Bukoba vijijini+Karagwe) au kulinganisha Moshi na Bukoba.
ova.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda huu nipo Mwika(kijijini) kesho nikipata nafasi nitashare picha kazaa, asee huku lami hadi vichochoroni.... Ukisikia watu wamejenga makwao ndio huku, hakuna nyumba za hovyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vituko hivi, yaani hizo ndo shamra shamra za kutype kwa nyodo hivyo! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba uje XO loungeKilimanjaro tu? Kwahiyo sie majirani zenu tuliopo Arusha mnatutenga?
Sibishan na watu wa vigunguti Mimi . Wazaramo waliotupwa huko mkuranga.
Hiv kuna nyuzi ngap za kusifia moshi? Wao ndo wanatumia nguvu nyingi kuaminisha umma mpaka baadhi ya watu hujiona mbwa( sio chochote) mbele Yao( mfano wew) lakin wakijitokeza wababe wao ( wahaya) hukimbia Uzi na kuishia kupost nyumba ya mengi na wazungu wavaa chupi wanaokwenda kutalii mlima
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wazidi kukojoa huku wanajenga kwao Kwa hiyo mikojo Yao[emoji3]Sifa ya wahaya tunayoijua ni kujiuza na kumwaga kojo la katerero,haya mengine unatumalizia chaji tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wazidi kukojoa huku wanajenga kwao Kwa hiyo mikojo Yao[emoji3]
Hapa ni kijiji cha bulila huko bukoba vijijinView attachment 1298816
Sent using Jamii Forums mobile app