Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]umewakamata pabaya. Hawawezi onekana hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika kwamba hakipo popote tz.

Hata bukoba vijijin barabara za vijijin zina lami

Mfano muleba to rubya.kamachumu to muhutwe ,katoma, katerero to kanazi, maruku nk nk

Sent using Jamii Forums mobile app
We hujui serikali hii Kwa kupika takwimu[emoji23].

Mkuu leta picha Kwa sababu Mie nikifika moshi Sion hayo maendeleo.

Kuna umaskin mkubwa huko migombani we Acha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali haiwez kupika takwimu kuipendelea kilimanjaro ili iweje?
Hujui kuwa kilimanjaro inavyoonewa wivu? Yaan wameshindwa kbs kudanganya ikabidi waseme ukweli
Vijin kilimanjaro kumeendelea mno haihitaji hata PhD kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ni ndan ndani
Swali la nyongeza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo hujaingia ROMBO, machame, masama,old Moshi,Kibosho,uru,mwika,mamba,kilema,mabogoni, himo duh Ni hatari Hakuna mkoa unaofikia makazi bora vijin zaidi ya kilimanjaro
Ndio maana takwimu za serikali zinatutanabaisha kuwa 90% ya Wana kilimanjaro wanaishi maisha Bora hesabu hazidanganyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilimanjaro 90% wachaga ndio dominant
10% ni wapare upo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhaya anaonaga aibu kusema ametoka kagera ,anaona kagera kiujumla ipo duni,sisi tunajitanabaisha ni wana kilimanjaro maana kilimanjaro wilaya zote zipo vizur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu na ma shangingi yao TAYARI wapo mgombani ni mwendo wa mbuzi na bia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…