Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]umewakamata pabaya. Hawawezi onekana hapa
Kama hice tu zinakimbizwa na bajaji, costa zibebe nani?? [emoji26][emoji26]

nadhani kwa sasa hivi moshi ndio mji unao ongoza kwa kutumia bajaji katikati ya mji!!

Huwezi amini kunafoleni kabisa bajaji hata 50 zimejipanga hizoooo alafu nayo wanasema wana trafic jam [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]


Watataka na trafick lights hawa za kuongoza bajaji!!! [emoji38][emoji38]

Wakibisha natumapicha [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibuni tusenene wapendwa sikukuu inawakaaaaaa
20191222_142433.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika kwamba hakipo popote tz.

Hata bukoba vijijin barabara za vijijin zina lami

Mfano muleba to rubya.kamachumu to muhutwe ,katoma, katerero to kanazi, maruku nk nk

Sent using Jamii Forums mobile app
We hujui serikali hii Kwa kupika takwimu[emoji23].

Mkuu leta picha Kwa sababu Mie nikifika moshi Sion hayo maendeleo.

Kuna umaskin mkubwa huko migombani we Acha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali haiwez kupika takwimu kuipendelea kilimanjaro ili iweje?
Hujui kuwa kilimanjaro inavyoonewa wivu? Yaan wameshindwa kbs kudanganya ikabidi waseme ukweli
Vijin kilimanjaro kumeendelea mno haihitaji hata PhD kujua
FB_IMG_15702098938113855.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo kanisa la kibosho mission area ndo mnapostiga Tu .


Kuna mission places nyingi uhayan kama kagondo,Rubya,Kashozi,Rutabo nk na zinakuwa na shule hata 10 na hospital juu sasa tukipost picha za juu hapa si mtakimbia.


Leta picha za vijijin ndan ndani huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ni ndan ndani
Swali la nyongeza?
IMG-20190425-WA0018.jpeg
IMG_20190626_125940.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa makazi , hakuna mkoa unaofikia kilimanjaro , mie bimkubwa anatokea marangu,...napaitaga masaki ya kilimanjaro , ndani ndani huko ghorofa zimejaa , hadi nyumba ya mwsho inayopaka na msitu wa kilimanjaro, hao jamaa nyoko sana, wamejenga sio kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hujaingia ROMBO, machame, masama,old Moshi,Kibosho,uru,mwika,mamba,kilema,mabogoni, himo duh Ni hatari Hakuna mkoa unaofikia makazi bora vijin zaidi ya kilimanjaro
Ndio maana takwimu za serikali zinatutanabaisha kuwa 90% ya Wana kilimanjaro wanaishi maisha Bora hesabu hazidanganyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tofauti kati ya wana Kilimanjaro na wachaga na kuna tofauti kati ya wanaKagera na wahaya. Na kuna tofauti kati ya wanakilimanjaro na wanaMoshi, vile vile kuna tofauti kati ya wanaKagera na wanaBukoba. Japo vinaelekeana ila kuna mstari unatenganisha mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimanjaro 90% wachaga ndio dominant
10% ni wapare upo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tofauti kati ya wana Kilimanjaro na wachaga na kuna tofauti kati ya wanaKagera na wahaya. Na kuna tofauti kati ya wanakilimanjaro na wanaMoshi, vile vile kuna tofauti kati ya wanaKagera na wanaBukoba. Japo vinaelekeana ila kuna mstari unatenganisha mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mhaya anaonaga aibu kusema ametoka kagera ,anaona kagera kiujumla ipo duni,sisi tunajitanabaisha ni wana kilimanjaro maana kilimanjaro wilaya zote zipo vizur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukituma picha kama hizi nakuelewa sasa. Maana uzi ni wa amsha masha za X mass. Sio mnaokoteza vipicha vya mitandaoni vya mahoteli na barabara mnatutumia kwenye uzi kama huu. Kuna wakati mnatakiwa muwe mnatumia ubongo wenu vizuri[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu na ma shangingi yao TAYARI wapo mgombani ni mwendo wa mbuzi na bia tu
tapatalk_1577023467334.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom