Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Hii picha ishapata tabu sana. Picha moja nyuzi zote za Kilimanjaro na ni ya barabarani. Sijui hawanaga nyumba hawa??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui Kama unajua kuwa kilimanjaro Ni mkoa wa pili kwa makazi bora na maisha Bora baada ya dar,yaani 90% ya Wana kilimanjaro wanaishi maisha bora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hautakaa uzione. Utaishia kuona coments tu za meneno kibao kutoka kwa hawa wapenda sifa wa kaskazini.[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kelele karibu kilimanjaro hadi vichochoroni watu wanaishi kwenye maghorofa na miundombn safi hii kitu haipo popote TanzΓ’nia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wazee wa migombani.
Acha dharau wewe huko kuna mahekalu mpaka ya gorofa tatu garden za maana wavivu tu wa kutuma kwanza utaanzaje kwenda kupiga picha mjengo wa watu bila idhini yake utatolewa nduki na mbwa kama sio walinzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kweli mkuu huoni aibu kutuma mahotel??? Au familia ya mtu inakaa kwenye hizo flats huko kijijini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787 Naona umeenda ku search insta ndo una screen shot kabisa na kututumia humu. Wachaga maskini sijui mmerogwa na nani??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukitaka sifa uwe na vya kuonesha kama wenzenu wa Kagera hata kama ni vidogo hivyo hivyo ndo vyako, jivunie.
Wacha kelele karibu kilimanjaro hadi vichochoroni watu wanaishi kwenye maghorofa na miundombn safi hii kitu haipo popote TanzΓ’niaView attachment 1297041View attachment 1297042View attachment 1297043

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa hakuna kanda iliyolala ila wanafanya mambo yao kimya kimya. Kuna siku mtajikuta maskini wa kutangatanga, tulia Tanzania ni kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…