Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Hii picha ishapata tabu sana. Picha moja nyuzi zote za Kilimanjaro na ni ya barabarani. Sijui hawanaga nyumba hawa??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui Kama unajua kuwa kilimanjaro Ni mkoa wa pili kwa makazi bora na maisha Bora baada ya dar,yaani 90% ya Wana kilimanjaro wanaishi maisha bora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenu ni mjini basi[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu vijin ndan ndan lami hadi chooni
Hakuna mkoa wowote TANZANIA unaofikia kilimanjaro kwa makazi bora vijin
123751066.jpeg
IMG_20190611_113626.jpeg
tapatalk_1557338052832.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watume picha gani mkuu? Ni aibu tu. Wakiamua kutuma utaona wanatuma za mahoteli ya watalii wazungu. Kamwe hautaona za vijumba vyao migombani huko. Kiufup wanaji overrate wenyewe . Acha tusubiri hizo za migombani nami nipo hapa sibanduki[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hautakaa uzione. Utaishia kuona coments tu za meneno kibao kutoka kwa hawa wapenda sifa wa kaskazini.[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kelele karibu kilimanjaro hadi vichochoroni watu wanaishi kwenye maghorofa na miundombn safi hii kitu haipo popote Tanzânia
IMG_20190626_125940.jpeg
IMG_20190611_114834.jpeg
tapatalk_1557337974135.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wazee wa migombani.
Watume picha gani mkuu? Ni aibu tu. Wakiamua kutuma utaona wanatuma za mahoteli ya watalii wazungu. Kamwe hautaona za vijumba vyao migombani huko. Kiufup wanaji overrate wenyewe . Acha tusubiri hizo za migombani nami nipo hapa sibanduki[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha dharau wewe huko kuna mahekalu mpaka ya gorofa tatu garden za maana wavivu tu wa kutuma kwanza utaanzaje kwenda kupiga picha mjengo wa watu bila idhini yake utatolewa nduki na mbwa kama sio walinzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kweli mkuu huoni aibu kutuma mahotel??? Au familia ya mtu inakaa kwenye hizo flats huko kijijini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787 Naona umeenda ku search insta ndo una screen shot kabisa na kututumia humu. Wachaga maskini sijui mmerogwa na nani??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukitaka sifa uwe na vya kuonesha kama wenzenu wa Kagera hata kama ni vidogo hivyo hivyo ndo vyako, jivunie.
Wacha kelele karibu kilimanjaro hadi vichochoroni watu wanaishi kwenye maghorofa na miundombn safi hii kitu haipo popote TanzâniaView attachment 1297041View attachment 1297042View attachment 1297043

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa hakuna kanda iliyolala ila wanafanya mambo yao kimya kimya. Kuna siku mtajikuta maskini wa kutangatanga, tulia Tanzania ni kubwa
 
Back
Top Bottom