Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Wadada wa kihaya wamejaa Buguruni na Mwananyamala kuuza Nyapu maana Takwimu zimetaja Kagera ni Mikoa inaongoza kwa Umasikini.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hiz wachaga ndo wameshika hili soko la kuuza nyapu maana wanapenda hela mno kuliko maelezo.hiv nenda bukoba utafute dangulo la Malaya kama utalipata? Lakin moshi wapo wengi Tu.

Halafu picha za moshi ziko wap?

Au umeishiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu uchagani hali ya hewa Kama brussel ubelgijiView attachment 1301703

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiri mabomba ya maji mkuu.
We unanipostia nyumba zenye rangi ya CCM!!

Kaboya muleba
DSC08273.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiz ndo kafala na matambiko mnayofanyaga mkienda moshi??

Yaan nyie ni wanafiki Sana kanisa ukiwaona huwezi Zan kama ni wachawi wakubwa.

Kule uru ndo kunaongoza Kwa vichaa na mazezeta tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wachawi kuliko kwenu kagera? Mnakatana makoromeo,mnapigana SHUNTAMA au unadhani hatujui? Ukienda miambao ya ziwa kwenu ndo wachawi wa kutupwa
Mliwahi kumla nyama Padre wa kizungu miaka ya zamani wanga wakubwa nyie
Sisi Ni wacha Mungu ndio maana Baraza la maaskofu Katoliki, ktk maaskofu 34, wachaga pekee Ni 11 Sawa n'a 34%
Ukienda moshi kila parokia ina mapadre 5 nje ya nchi ndio maana
Mapadre diaspora wanaoongoza Ni wa jimbo Katoliki Moshi
PILI , licha ya udogo wa Moshi,Ina parokia nyingi kuliko bukoba kubwa hii Ni ishara tosha kuwa ni wacha Mungu
Nyie kagera endeleeni n'a Mambo yenu ya uchawi kulogana ,kuoneana wivu,sisi wachaga tunapendana Kama siafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui kwamba ni muislam Yule na amezikwa kiislamu sio kitamaduni.

Halafu inaonekana mulikuwa mnamuogopa Sana yule

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kwann hamjamzika bukoba? Mliona aibu maana maskini Ni wengi
Tajiri mzima hata msiba haujajulikana
Mje uchagani tuwafundshe maendeleo,nyie mpo busy kulogana na uchawi wenu unaoitwa SHUNTAMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Nani hasiyejua wahaya kwenye elimu ndo vichwa hapa bongo?

Hii secta ndo hamtuwezi kabisa.bora hata usitamke maana utaumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
Weweeeee elimu uchagani ndiko ilikolala hata mtawala wa jadi mangi mareale alikuwa na masters kutoka Cambridge unadhani mchezo?
Sekta ngumu ngumu ndio wanasomea wachaga hasa uhasibu,bussness,economic,sheria,doctor nk
Hakuna bank yoyote tz utawakosa wachaga kwa wingi
Nmb muleba,bukoba,ngara,kanda ya ziwa mabosi Ni wachaga huo Ni mfano tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una akili sana Upendo. Napenda picha kama hizi zinatoka eneo la tukio. Keep it up. Upo unapata mbege kidogo eeh!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nimekwambia buganguzi ipo Kati ya rubya na muleba? Nimekwambia hiyo barabara haina lami na niliipita nilipokuwa naenda buganguzi via nshamba
Hivi unadhani Kuna sehemu siijui Tanzania? Hadi kule minziro huniambii kitu
Kule kyaka Kuna umaskini mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wachawi kuliko kwenu kagera? Mnakatana makoromeo,mnapigana SHUNTAMA au unadhani hatujui? Ukienda miambao ya ziwa kwenu ndo wachawi wa kutupwa
Mliwahi kumla nyama Padre wa kizungu miaka ya zamani wanga wakubwa nyie
Sisi Ni wacha Mungu ndio maana Baraza la maaskofu Katoliki, ktk maaskofu 34, wachaga pekee Ni 11 Sawa n'a 34%
Ukienda moshi kila parokia ina mapadre 5 nje ya nchi ndio maana
Mapadre diaspora wanaoongoza Ni wa jimbo Katoliki Moshi
PILI , licha ya udogo wa Moshi,Ina parokia nyingi kuliko bukoba kubwa hii Ni ishara tosha kuwa ni wacha Mungu
Nyie kagera endeleeni n'a Mambo yenu ya uchawi kulogana ,kuoneana wivu,sisi wachaga tunapendana Kama siafu

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti mnapendana kama siafu[emoji23][emoji23]

Wakati bado mnabaguana watu wa machame,kibosho sijui rombo???

Sorry hiv unajua morogoro na kagera ndo mikoa yenye majimbo matatu nchini.

Huku bukoba ikiongozwa na maaskofu wawili [emoji16][emoji16]
Kuna Jimbo la Kayanga,Jimbo la ngara,na bukoba yenyew.

Nyie moshi mnakaa mwaka mzima bila askofu.Yaan kuona umuhimu wa Jimbo ona askofu timanywa alivyostaafu Tu wakaamisha mtu faster kutoka singida kuja kuongoza Jimbo la bukoba huku singida wakiachwa bila askofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom