instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Acheni sifa za kiboya wakati hamna ushahidi.Km naona vile...
Kuna njemba zinanuna sana kila zikiona na kusikia ambacho hawakitaki humu juu ya kilimanjarooo
Wazee tuache uchawiiii.....
Saa nyingne unatiwa hasira ili nawe upambanee
Poleee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana tunawaumbua sana
Sent using Jamii Forums mobile app