Shamsa Ford asema mahari yake ni Milioni 20

dah mkuu nimecheka sana!!!
 
Lucy komba
 
Akipata hata wa kumchukua bure amkimbilie na sadaka akatoe, umezalishwa ukaachwa, Ney na wengine wamepita hapo wamejisaidia wameacha, umepata ndoa umeiacha, bado tu unajithaminisha hivyo? Thubutu my dear ukipata wa bure nenda tu.
huyo kijana Ney basi kwawachezea hao mabinti wa bongo movie kuna mmoja bongo movie ni bonge sana na kaushombe shombe kiaina kuna tetesi nae ni mzazi mwenzie hizo tetesi zina kaukweli?
 
Mbona ndogo Sana!![emoji848]
 
Mijiwanawake mingine inaonaga misifa kuzungumza upuuzi mbele ya waandishi wa habari ili waonekana wapo matawi ya juu halafu mwisho wa siku wanaenda kumsumbua mama Lwakatare awaombee.
Kweli Shamsa Ford na utu uzima wote huo ulipiwe hiyo mahari yote hali kuwa kuna vigori chuchu saa sita,vitoto vya kuwekewa visarawanda siku ya fungate ama kile kitambaa cheupe.
Dah,Labda urudie usichana wako lakini siyo ulivyo sasa,sa hivi unatakiwa kulea wajukuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…