TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Duuuuh mji mzito huu, lol mweeeeeh
 
Weee unajidanganya sana, khaaaaah watu wanatoa hadi ndugu wa wake zao na wanafanikiwa kupata hela. Acha kabisa damu ya binadamu.

Sasa hao wanaotolewa Kafara wanakua bado wapo hai au inakuaje?
 
Ingekua kupata pesa unamtoa mke basi tungekua tumefanya hayo kitambo,ushirikina wa damu inahusu damu yako ya kuzaa sio mke hata siku moja...angalia watu wote wenye pesa za ulonzi utaona kazika watoto na ndgu wakutosha ila sio mke

I hope hujamaanisha ulivosema kwamba ungemtoa mkeo km ingeku Guarantee kupata Pesa. Halafu kuna Member mwezi huuhuu alitoaga Story ya hapo kijijini kwao jinsi mvlana wa hapo kijijini kwao alivomtoa Kafara mume wa Dada yake na baadae wakageukana na kutoleana siri.
 

Kwani hayo mtu akiwekewa inabidi aendelee kulala akiwa hoi?
 
Wanakua hai ktk hali ya nguvu za giza (ndondocha na misukule), hivyo kwa hali ya kawaida hawaonekani, ila wataalamu wa mambo hayo wanaona, km waganga, wachawi, na watu waliojizindika.

Huwa Wanateswa/kutumikishwa ama ndo wanakua hawana faida wapo km pambo tu?
 
R.I.P shemela.pole sana zimfikie babu tale wanandugu wote pamoja na crew nzima ya WCB.
 
"Tale" na "Kitale" ukiwasikiliza mahojiano yao, mara nyingi ni watu wanaoamini sana kwenye mambo ya Ulozi na Ushirikina.

Hata jambo likitokea ukaambiwa wameshiriki inakuwa ngumu sana kuwatetea.
Hahahaha, dah we umemtaja MTU nilwahi Kusikia kitu km hicho akihusishwa ila kwakua yalikua mastory ya madogo Fulani sikufuatilia kabisa
 
Kwani hayo mtu akiwekewa inabidi aendelee kulala akiwa hoi?
Unaijua pacemaker? Mtu anafanyiwa operation ya tumbo anakaa wiki kadhaa sembuse ya moyo. Kwanza watu walishasema ndege imetua Ujerumani, eti ilimpeleka kutibiwa. Hatukukaa siku 3 uteuzi ukatolewa, tangu lini mgonjwa wa moyo akarudi hali yake kwa siku 3? Hii sio blood pressure, walisema heart attack ambayo lazima mtu akae sana kurecover.
 

...yale majani yako hayawezi kutumika kwenda kumfufua mkuu?
Hebu fanya mchakato bwana arudi bado jamii inamuhitaji huyu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…