Ukiona mtu haamini kuna uchawi hata Mungu hamuamini. Unajichosha bure madameUlozi upo tangia hata kabla Yesu hajakuja duniani. Mfalme wa Misri aliota ndoto akaagiza wachawi na waganga wamtafasirie ila waligonga mwamba. Uchawi upo....
Alaa we mwenyewe huamini ulozi karne hii, we mwenyewe tena unatoa details za ulozi. Au hii komenti umeandika ukiwa karne ya ngapi?Ingekua kupata pesa unamtoa mke basi tungekua tumefanya hayo kitambo,ushirikina wa damu inahusu damu yako ya kuzaa sio mke hata siku moja...angalia watu wote wenye pesa za ulonzi utaona kazika watoto na ndgu wakutosha ila sio mke
what if anaangalia message za michango iliyotumwa!?Kwanamna nijuavyo mke anauma sana tena sana. Ni ajabu na kweli katika hali hii mtu yuko busy na simu wakati wa msiba. Mke ananiachia watoto wanne...Nawaza watoto wanakua bila Mama, Nawaza ni nani atakayefit kunisaidia kuwalea hao watoto. Sidhani hata mama ataweza hili..Nimewaza sana na kuconclude ya walimwengu, sometimes usikute yana ukweli mtupu.
Picha kwa hisani ya Dar_story IG Account
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1491215
Kumbe na wasafi wanafiwa Kweli Awamu ya 5 inastahili pongeziHabari zilizotufikia punde ni kuwa mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Hamisi Tale au Babu Tale) aitwaye Shamsa Tale almaarufu kama Shammy Nails amefariki.
Pole kwa familia ya Babu Tale maana ameacha watoto wadogo.
View attachment 1490835
View attachment 1490828
Nimeongelea walikua wanasemekana kua walipata mawe kwa ulonzi sasa hivi hawana mia,wanatembea na miguu.Alaa we mwenyewe huamini ulozi karne hii, we mwenyewe tena unatoa details za ulozi. Au hii komenti umeandika ukiwa karne ya ngapi?
Wimbo : Kazi yake Mola.
Mtunzi : Madee.
Wale wote walio tajwa kwenye Huo wimbo ni familia ya Tale.
Pole Sana Tale, umepata mitihani sana bro.
Mungu akufanyie Tawakal
Wasikutishe.Mbona wao walipokuwa wanalazimisha Kuwa Jiwe amevuta uliwapinga sana wanajisahaulisha.Acha kuuonea mdomo wangu. Mdomo wangu haujahusika chochote katika kuandika hapa.
Chanzo cha kifo chake ni nini?
Umeona eeh...wana uita changamoto ya upumuaji.Ngoja tusubiri ila ugonjwa wa KUBANA MBAVU AKA COVID unachukuwa watu kimya kimya. Poleni sana wafiwa RIP mrembo.
Mzee kwa hiyo kama kifo kimetokea na mambo mengine yasiendelèe?so unatakiwa uwe unalia tu mana itasaidia afufuke arudi?huyo kashakwenda hatuponae,hata akionesha majonzi aisaidii,mwache ajifariji huenda simu inampunguzia mawazo pia.Kwanamna nijuavyo mke anauma sana tena sana. Ni ajabu na kweli katika hali hii mtu yuko busy na simu wakati wa msiba. Mke ananiachia watoto wanne...Nawaza watoto wanakua bila Mama, Nawaza ni nani atakayefit kunisaidia kuwalea hao watoto. Sidhani hata mama ataweza hili..Nimewaza sana na kuconclude ya walimwengu, sometimes usikute yana ukweli mtupu.
Picha kwa hisani ya Dar_story IG Account
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1491215
Na hapo hata chukua mda aone Tena, kweli mwanaume sio ndugu yakoKwanamna nijuavyo mke anauma sana tena sana. Ni ajabu na kweli katika hali hii mtu yuko busy na simu wakati wa msiba. Mke ananiachia watoto wanne...Nawaza watoto wanakua bila Mama, Nawaza ni nani atakayefit kunisaidia kuwalea hao watoto. Sidhani hata mama ataweza hili..Nimewaza sana na kuconclude ya walimwengu, sometimes usikute yana ukweli mtupu.
Picha kwa hisani ya Dar_story IG Account
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1491215
Wanatumikishwa kulingana na mahitaji ya muhusika, wanakuwa vitega uchumi, mfano kuna mwingne msukule wake anauweka kutafuta na kuvuta hela (chuma ulete), mwingine anauweka ulinzi wa mali zake asifirisike (lighambu(, mwingine anauweka km kivutio cha watu ktk kazi zake (lomwele). Hivyoooh yaaanHuwa Wanateswa/kutumikishwa ama ndo wanakua hawana faida wapo km pambo tu?
Sasa ushawahi kuona mkinga ana biashara ya hovyooh? Unadhan mmiliki wa mabasi ya super feo n nan? Na unajua habari zakee? Haya unamjua Ottawa vizuri? Ushawahi sikia habari zake?Dada hizo ni story ingekua kafara dini kungekua hakuna masikini iringa na usukumani ndio wanapenda hayo mambo
Usipende kuhukumu na hata kama kweli usiwe mwepesi wa kuhukumu na kusema jambo. Mtaleta taflani kwenye jamii kwa vitu visivyo na ukweliAcha kuuonea mdomo wangu. Mdomo wangu haujahusika chochote katika kuandika hapa.
Walikosea masharti hao.Kuna matajiri wa madini tulikua tunawaona na pesa tunaambiwa ulonzi wametumia,wengi sasa havi hawana hata mia sasa faida yake nini pesa inatakiwa ikae kuanzia miaka 10 mpka 30 uwe kwenye level
mzee una uhakika dayamondi alimtoa bibi ake kafara?