Kwanamna nijuavyo mke anauma sana tena sana. Ni ajabu na kweli katika hali hii mtu yuko busy na simu wakati wa msiba. Mke ananiachia watoto wanne...Nawaza watoto wanakua bila Mama, Nawaza ni nani atakayefit kunisaidia kuwalea hao watoto. Sidhani hata mama ataweza hili..Nimewaza sana na kuconclude ya walimwengu, sometimes usikute yana ukweli mtupu.
Picha kwa hisani ya Dar_story IG Account
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1491215