TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Mimi nakuelewa. Hapa duniani huwezi kupata Mali nyingi bila ushirikina au maombi
Muambie huyo mwenzio aelewe, yey analeta habari zake za kikachanja kweny issue za fedha, khaaaaah yaan uzalishwaji wa fedha uendeshwe kiholela? Hata hiyo sent ya faida itaonekana? Uwiiiiiiiih ushirikina na utajiri ni pete na kidole.
 
Muambie huyo mwenzio aelewe, yey analeta habari zake za kikachanja kweny issue za fedha, khaaaaah yaan uzalishwaji wa fedha uendeshwe kiholela? Hata hiyo sent ya faida itaonekana? Uwiiiiiiiih ushirikina na utajiri ni pete na kidole.
Na ndio maana hutakaa usikie mtu anayemwamini sana Mungu eti ni mfanyabiashara wa madini.haitatokea
Chunguza hata hawa akina gwajima, mzee wa upako, marehemu rwekatale, mwamposa, masanja, mwingira etc wanafanya biashara tofautitofauti ila hutakaa usikie wanajihusisha na madini
 
Nilishampa mfano dhahiri, sema anaelewa ila anataka kuni challenge me, but kanikuta bado nampa lecture atakaa sawa tyuuh.
 
Ila huyu shammy kaniuma Sana Apumzike kwa amani too young to die, nawahurumia hao watoto maana mwanaume ataoa tu na mziki wa step Mom sio wa nchi hii.
Tale ana miaka mingapi na marehemu mkewe alikuwa na miaka mingapi ?
 
Amefiwa na kina nani mfululizo hebu taja
 
Kutoa taarif ya kifo hakuna ulazima wowote wa kujua sababu husika za KUFARIKI. Taarifa za vifo zinatolewa mara chungu nzima duniani kote huku watoa taarifa wakiwa hawajui sababu za kifo.

Utatoaje taarifa ambayo huijui
 
Utafikiri hajafiwa kabisa
 
Reactions: bmk
Umeandika ukweli mtupu. Vifo vya mke, mume, mtoto, Baba na Mama vinauma sana.

 
Reactions: bmk
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…