TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Nikki mbishi once said..
Hakuna kuoneana huruma biashara ni ubepali
 
Ngoja miladi aje kukutoa povu. Ana Fake ID yake humu kauchuna kimya
 
Sasa ushawahi kuona mkinga ana biashara ya hovyooh? Unadhan mmiliki wa mabasi ya super feo n nan? Na unajua habari zakee? Haya unamjua Ottawa vizuri? Ushawahi sikia habari zake?

Kaa kimya weee Acha kucheza na damu ya kiumbe chenye uhai na utashi. Sasa nikuambie Songea nzima imeshikiliwa na Wakinga na Wachaga, na tunajua habari zao wote.

Nkukumbushe km unakumbuka kipindi soko kuu la songea linaungua kuna mfanya biashara maarufu alilia sana kisa paka wake kuungua, na alitoa siri zote za biashara yake siku hiyo.

Unasema nini wee khaaaah.

Aliongea nini?
 
Na ndio maana hutakaa usikie mtu anayemwamini sana Mungu eti ni mfanyabiashara wa madini.haitatokea
Chunguza hata hawa akina gwajima, mzee wa upako, marehemu rwekatale, mwamposa, masanja, mwingira etc wanafanya biashara tofautitofauti ila hutakaa usikie wanajihusisha na madini
Hivi unajua kama Masanja ana mgodi wa madini?

Hivi unajua mbishe za Gwajima za kutorosha madini? Yaani wewe jamaa achana na hela wewe...

Gwajiboy ni mfanya biashara mzuri tu madini sijui kma Alisha achana nayo, ila katorosha sana madini
 
Hivi unajua kama Masanja ana mgodi wa madini?

Hivi unajua mbishe za Gwajima za kutorosha madini? Yaani wewe jamaa achana na hela wewe...

Gwajiboy ni mfanya biashara mzuri tu madini sijui kma Alisha achana nayo, ila katorosha sana madini
Basi washirikina.
Madini bila ushirikina huyapati
 
Aliongea nini?
Alitema mazito mno, yaan hadi aibu kumbe aliua mzaz wake wa kike akamgeuza msukule kwa njia ya paka, akawa na kazi ya kutafuta, kukusanya na kuvuta hela (chuma ulete), na kweli aliitikisa Songea alikuwa na maduka tena makubwa ya jumla km 8 hivi, baada ya soko kuungua khaaaaah leo yupo kwao hapo Mafinga choka mbaya km nn.
 
Samahani mkuu una undugu na dada mmoja wa Jf alikuwa anatumia ID ya witnessj? Uulizaji maswali wako unafanana kabisa na yeye

Mkuu na mimi niliwahi kumwambia naona ile ID yako nyingine ya WJ umeiweka kando,akajibu hapana umenichanganya sina ID nyingine humu.

Lkn kwa 100% zinafanana.
 
Ndiyo nina utu,ndo maana nimeumia fala mmoja kutoa mkewe kafara kisa ubunge. Bora ukose mali ila usikose Hekima.
Ushahidi,acha usukununu na upashukuna wako,mauti yanampata mtu yeyote hayo mambo ya kafara ni imani za kiswahili tu.Unajifanya unamfahamu sana babu Tale hadi umzushie tuhuma za kusadikika
 
Maisha ya misiba na media nayo kama huombolezi kwa uhuru
Camera iko mbele yako
 
Back
Top Bottom