Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Nikki mbishi once said..
Hakuna kuoneana huruma biashara ni ubepali
Hakuna kuoneana huruma biashara ni ubepali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ushawahi kuona mkinga ana biashara ya hovyooh? Unadhan mmiliki wa mabasi ya super feo n nan? Na unajua habari zakee? Haya unamjua Ottawa vizuri? Ushawahi sikia habari zake?
Kaa kimya weee Acha kucheza na damu ya kiumbe chenye uhai na utashi. Sasa nikuambie Songea nzima imeshikiliwa na Wakinga na Wachaga, na tunajua habari zao wote.
Nkukumbushe km unakumbuka kipindi soko kuu la songea linaungua kuna mfanya biashara maarufu alilia sana kisa paka wake kuungua, na alitoa siri zote za biashara yake siku hiyo.
Unasema nini wee khaaaah.
Kwa kweli sifahamu umri wao halisiTale ana miaka mingapi na marehemu mkewe alikuwa na miaka mingapi ?
Hivi unajua kama Masanja ana mgodi wa madini?Na ndio maana hutakaa usikie mtu anayemwamini sana Mungu eti ni mfanyabiashara wa madini.haitatokea
Chunguza hata hawa akina gwajima, mzee wa upako, marehemu rwekatale, mwamposa, masanja, mwingira etc wanafanya biashara tofautitofauti ila hutakaa usikie wanajihusisha na madini
Nasikia unashiriki mapenz ya jinsia mojaFeo nasikia kaka ake sijui mdogo wake alifariki
Feo kaua dada zake wawili, kaka ake m1, na mtoto mmoja wa kwake, hadi kupelekea kuachana na mkewe.Feo nasikia kaka ake sijui mdogo wake alifariki
Basi washirikina.Hivi unajua kama Masanja ana mgodi wa madini?
Hivi unajua mbishe za Gwajima za kutorosha madini? Yaani wewe jamaa achana na hela wewe...
Gwajiboy ni mfanya biashara mzuri tu madini sijui kma Alisha achana nayo, ila katorosha sana madini
Alitema mazito mno, yaan hadi aibu kumbe aliua mzaz wake wa kike akamgeuza msukule kwa njia ya paka, akawa na kazi ya kutafuta, kukusanya na kuvuta hela (chuma ulete), na kweli aliitikisa Songea alikuwa na maduka tena makubwa ya jumla km 8 hivi, baada ya soko kuungua khaaaaah leo yupo kwao hapo Mafinga choka mbaya km nn.Aliongea nini?
Hahaa....basi kama kapost nafuta kauli yangu....nisamehe bure Millard kikubwa ni kujenga upendo....ndiyo utamaduni wetu....Kapost bhana....ila n picha ya mkewe tuuuu na clouds ndo wamepost wote kwa pamoja.....ila kwa konde boy bila bila until now.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Samahani mkuu una undugu na dada mmoja wa Jf alikuwa anatumia ID ya witnessj? Uulizaji maswali wako unafanana kabisa na yeye
Ushahidi,acha usukununu na upashukuna wako,mauti yanampata mtu yeyote hayo mambo ya kafara ni imani za kiswahili tu.Unajifanya unamfahamu sana babu Tale hadi umzushie tuhuma za kusadikikaNdiyo nina utu,ndo maana nimeumia fala mmoja kutoa mkewe kafara kisa ubunge. Bora ukose mali ila usikose Hekima.
Mhh niliwah soma sehemu upande wa kina tale kunakuwa na vifo vya ajabu ajabu...rip dada
Unitag mkuukuna kazi naweka sawa nilainishe vyuma hapa ila nitafanya hivyo kama siyo leo ni kesho
[emoji16][emoji16][emoji16]we acha tu my..umbea mtamu balaaNaona Diana uko busy unatafuta ukweli juu ya Tuhuma za Babu Tale [emoji23][emoji23][emoji23]
ngoja nitafuatiliaFeo kaua dada zake wawili, kaka ake m1, na mtoto mmoja wa kwake, hadi kupelekea kuachana na mkewe.