TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Ila huyu shammy kaniuma Sana Apumzike kwa amani too young to die, nawahurumia hao watoto maana mwanaume ataoa tu na mziki wa step Mom sio wa nchi hii.
Stepmom ni balaa na nusu[emoji119][emoji119]
 
Sasa ushawahi kuona mkinga ana biashara ya hovyooh? Unadhan mmiliki wa mabasi ya super feo n nan? Na unajua habari zakee? Haya unamjua Ottawa vizuri? Ushawahi sikia habari zake?

Kaa kimya weee Acha kucheza na damu ya kiumbe chenye uhai na utashi. Sasa nikuambie Songea nzima imeshikiliwa na Wakinga na Wachaga, na tunajua habari zao wote.

Nkukumbushe km unakumbuka kipindi soko kuu la songea linaungua kuna mfanya biashara maarufu alilia sana kisa paka wake kuungua, na alitoa siri zote za biashara yake siku hiyo.

Unasema nini wee khaaaah.
Huyo paka lazima alikuwa ndondocha lake
 
Duh!! Watu wana roho ngumu, kukubali kumuua mwanao kisa Umaarufu na Utajiri, Huyo Muuza Misosi nishamjua. Ehe tupe story kuhusu huyo Bongo Fleva namba 1 na Bibi ake, walimtoa kwa mganga huyuhuyu aliepelekwa muuza Misosi? Sijui mwisho wao utakuaje naona wanazidi fanikiwa😱😱
Kigwangwala pia alimuua mwanaep
 
Shamsa Ford yule mdangaji kichwa hakijatulia labda akagombee ujumbe w a nyumba kumi mtu mwenyewe dalasa la Saba Nani atampa ubunge wa viti maalumu UWT tena serikali hii ya Maghufuli

Shamsa Kombo wa babu tale ndio alikua amejiingiza kwenye siasa target yake ni UWT

I know her in person
Alikuwa na shule kidogo? She seems nice enough
 
Tena kaa kimya kabisaaaa. Rafiki wa dada angu mumewe n mchimba madini kwa miaka takriban 8 hakuwa ktk kiwango kizuri financially, ila mwaka juz kaua dada zake 2 mmoja aliolewa, yaan hata msiba haujamalizwa vizuri (siku 40) kashusha magari makubwa 2 ya mizigo na kujenga bonge la jumba la kifahari.

Mwaka jana kaua mtoto wake mdogo wa miaka 2 na wazaz wa mkewe wote wawili walikufa sku 1 kwa ajali ya pikipik, ndipo ndugu wa mwanamke wakatafuta kujua chanzo n nn, wakakuta mkwe ndo aliyefanya hiyo mission.

Ndipo madudu yalipoanza kufukuliwa na kujulikana wazi. Ule mgogoro ulifikia hatua mtu na mkewe kutengana, but haikuwa haja, kwan wazazi plus mtoto hawawezi kurud uhai, bas mkewe karudi kwa mumewe.

Na saiv maisha yao hayako pakubwa san couz masharti yamekiukwa, na pia huyo mwanaume tatzo hakumshirikisha mkewe.

Wee Dunia ina mengi hii, acha kabisaaa.
Huyo mkwe ni noma
 
Na ndio maana hutakaa usikie mtu anayemwamini sana Mungu eti ni mfanyabiashara wa madini.haitatokea
Chunguza hata hawa akina gwajima, mzee wa upako, marehemu rwekatale, mwamposa, masanja, mwingira etc wanafanya biashara tofautitofauti ila hutakaa usikie wanajihusisha na madini
Not necessarly...!

Mchungaji wangu wa KKKT ana shimo la madini, anafanya biashara hiyo for long now.
 
Back
Top Bottom