Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
umekosea kuniquoteNasikia unashiriki mapenz ya jinsia moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umekosea kuniquoteNasikia unashiriki mapenz ya jinsia moja
don't know.haya turudi kwenye swali letuKwani mie naishi Mars? [emoji15][emoji15][emoji15]
NdioUnataka na wewe ukajaribu mkuu?
Ok ok twin...ilikuwa ghafla, au alilazwa?Twin shida ilikua kupumua, si unajua ukifika ICU kusurvive inakua issue.
Kwanini usiyapate?Basi washirikina.
Madini bila ushirikina huyapati
Mi namuonaga mitaa ya tabata barakuda kwa sanaAlikua mzuri sana kama hana watoto watatu, kuna siku nimemuangalia nikajisemea dada kajua kujitunza.
Mkuu una ushahidi na haya?Feo kaua dada zake wawili, kaka ake m1, na mtoto mmoja wa kwake, hadi kupelekea kuachana na mkewe.
Heeeeeeh binamu lol, nlikumic mnoooh, ulipotelea wapi? Hebu na weee tupe huo umbea jomoneeeeh khaaaah.Sitaki umbea Jaman uwii , ebu Ngoja nikae vzur warumi Mie , mdomo koma Jaman , Sijui tuvumilie had shoga kidawa azikwe maana umbea huu mmh
Stepmom ni balaa na nusu[emoji119][emoji119]Ila huyu shammy kaniuma Sana Apumzike kwa amani too young to die, nawahurumia hao watoto maana mwanaume ataoa tu na mziki wa step Mom sio wa nchi hii.
Vipi babu jiwe,unataka kwenda kurekebisha hiko chanzo kisiue tena au?Chanzo cha kifo chake ni nini?
Huyo paka lazima alikuwa ndondocha lakeSasa ushawahi kuona mkinga ana biashara ya hovyooh? Unadhan mmiliki wa mabasi ya super feo n nan? Na unajua habari zakee? Haya unamjua Ottawa vizuri? Ushawahi sikia habari zake?
Kaa kimya weee Acha kucheza na damu ya kiumbe chenye uhai na utashi. Sasa nikuambie Songea nzima imeshikiliwa na Wakinga na Wachaga, na tunajua habari zao wote.
Nkukumbushe km unakumbuka kipindi soko kuu la songea linaungua kuna mfanya biashara maarufu alilia sana kisa paka wake kuungua, na alitoa siri zote za biashara yake siku hiyo.
Unasema nini wee khaaaah.
Kigwangwala pia alimuua mwanaepDuh!! Watu wana roho ngumu, kukubali kumuua mwanao kisa Umaarufu na Utajiri, Huyo Muuza Misosi nishamjua. Ehe tupe story kuhusu huyo Bongo Fleva namba 1 na Bibi ake, walimtoa kwa mganga huyuhuyu aliepelekwa muuza Misosi? Sijui mwisho wao utakuaje naona wanazidi fanikiwa😱😱
Kwa mfano amewahi kufanya ushirikina upi?Tatizo Tale kazidi sana ushirkina Hadi watu wanawaza Mambo ya ajabu ajabu juu yake
Tale nakupa pole na naomba upunguze ushirikina Kaka maana unatengeneza maagano mengi ambayo lazima yaje ku back fire siku
RIP dada
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa na shule kidogo? She seems nice enoughShamsa Ford yule mdangaji kichwa hakijatulia labda akagombee ujumbe w a nyumba kumi mtu mwenyewe dalasa la Saba Nani atampa ubunge wa viti maalumu UWT tena serikali hii ya Maghufuli
Shamsa Kombo wa babu tale ndio alikua amejiingiza kwenye siasa target yake ni UWT
I know her in person
Huyo mkwe ni nomaTena kaa kimya kabisaaaa. Rafiki wa dada angu mumewe n mchimba madini kwa miaka takriban 8 hakuwa ktk kiwango kizuri financially, ila mwaka juz kaua dada zake 2 mmoja aliolewa, yaan hata msiba haujamalizwa vizuri (siku 40) kashusha magari makubwa 2 ya mizigo na kujenga bonge la jumba la kifahari.
Mwaka jana kaua mtoto wake mdogo wa miaka 2 na wazaz wa mkewe wote wawili walikufa sku 1 kwa ajali ya pikipik, ndipo ndugu wa mwanamke wakatafuta kujua chanzo n nn, wakakuta mkwe ndo aliyefanya hiyo mission.
Ndipo madudu yalipoanza kufukuliwa na kujulikana wazi. Ule mgogoro ulifikia hatua mtu na mkewe kutengana, but haikuwa haja, kwan wazazi plus mtoto hawawezi kurud uhai, bas mkewe karudi kwa mumewe.
Na saiv maisha yao hayako pakubwa san couz masharti yamekiukwa, na pia huyo mwanaume tatzo hakumshirikisha mkewe.
Wee Dunia ina mengi hii, acha kabisaaa.
Hapana mkuuSamahani mkuu una undugu na dada mmoja wa Jf alikuwa anatumia ID ya witnessj? Uulizaji maswali wako unafanana kabisa na yeye
Not necessarly...!Na ndio maana hutakaa usikie mtu anayemwamini sana Mungu eti ni mfanyabiashara wa madini.haitatokea
Chunguza hata hawa akina gwajima, mzee wa upako, marehemu rwekatale, mwamposa, masanja, mwingira etc wanafanya biashara tofautitofauti ila hutakaa usikie wanajihusisha na madini
[emoji1787][emoji1787][emoji16]Kwani mie naishi Mars? [emoji15][emoji15][emoji15]
Hawa wanaoitwa wataalam wengi wao ni watu wa hovyo sana.Ubunge umeleta balaa,ni pale mtaalam anakuambia utoe sadaka mtu unaempenda.
Na kama kweli ni mshirikina atubu na kuacha ushirikina la sivyo atakuja kuanguka vibaya sana. Kutajwa vibaya hivi kwenye msiba wa mtu wako muhimu si jambo la kupuuzia.Duh, hivi ni kweli jaman ni mshirikina au rumors tu? [emoji51]