TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Njia yetu ni moja sote , wivu unaowaonea wengine,chuki unayoisambaza, huzuni unayoigawa badala ya furaha yote haya tutakutana nayo huko motoni

Sent from my SAMSUNG-SM-G935A using JamiiForums mobile app
 

Aiseeee
Paka ndio alikuwa maza
Hii duh
 
Aisee dunia ina mambo magumu hii!
 
Anasoma comments zenu waswahili 😏😏
 
Hatimae Tale kaamua kumtoa kafara mkewe kisa Ubunge,R.I.P Shamsa. Na ubunge hatopata fala huyu.

Mkuu, you have a typical african mindset.!! imani potofu imekutawala.
KWANI HIVI UKIWA MTU MAARUFU NDO HUFIKWI NA MSIBA??
MKUU, Hongera sana kama hujawahi kufiwa na ndugu yako yeyote yule iwe ni mjomba, shangazi, bibi, kaka, Dada,mama, baba, rafiki yako etc.
Siku ukipata msiba wa mtu yako wa karibu utajua kuwa binadamu wote tunapita tu. Kufiwa kupo, ACHA IMANI POTOFU!
Nani asiyefikwa na msiba dunia hii?
Nauliza tu,"Kwani mtu maarufu /mashuhuri ndo hatakiwi kupata msiba????"
Misiba huwa haina formula ya kuja, eti kwamba ukipata msiba mmoja ndo hupati msiba tena.
Misiba inawezakuja mfululizo kwa mtu yeyote yule, haijalishi iwe ni mtu Bilionea,Mlemavu, Masikini etc..
Na wewe kama ulishawahi kufikwa na msiba wa nduguyo (babu,bibi, mjomba, mama,baba, shangazi, ma'mkubwa, ma'mdogo,binamu, rafiki etc.) basi acha na sie tuseme kuwa umetoa kafara...

Sie Binadamu wote ni marehemu watarajiwa, na Binadamu wote tutakuwa misiba!! it's just the matter of time.
 

Pole mkuu

Babu tale huwa anasema, na ni mshirikina mzuri


Kila mtu anamjua, nadhan ulikuwa bado wewe


Kifo hiki binafsi siamini ushirikina

Ila hautaweza zuia watu kumsema kama yeye mara kadhaa ashakiri kushiriki ushirikina
 
Tulia wewe! Tuambie ukweli ni upi! BabU tale ana utajiri wa mapaka ama la?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…