Mkuu, you have a typical african mindset.!! imani potofu imekutawala.
KWANI HIVI UKIWA MTU MAARUFU NDO HUFIKWI NA MSIBA??
MKUU, Hongera sana kama hujawahi kufiwa na ndugu yako yeyote yule iwe ni mjomba, shangazi, bibi, kaka, Dada,mama, baba, rafiki yako etc.
Siku ukipata msiba wa mtu yako wa karibu utajua kuwa binadamu wote tunapita tu. Kufiwa kupo, ACHA IMANI POTOFU!
Nani asiyefikwa na msiba dunia hii?
Nauliza tu,"Kwani mtu maarufu /mashuhuri ndo hatakiwi kupata msiba????"
Misiba huwa haina formula ya kuja, eti kwamba ukipata msiba mmoja ndo hupati msiba tena.
Misiba inawezakuja mfululizo kwa mtu yeyote yule, haijalishi iwe ni mtu Bilionea,Mlemavu, Masikini etc..
Na wewe kama ulishawahi kufikwa na msiba wa nduguyo (babu,bibi, mjomba, mama,baba, shangazi, ma'mkubwa, ma'mdogo,binamu, rafiki etc.) basi acha na sie tuseme kuwa umetoa kafara...