TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Watu kama wewe ndo wanaoenda kwa waganga kutafuta mchawi
 
Mi naona unafiki tu unaendelea mitandaoni. Ni sawa na waandishi kukomalia kifo cha George Floyd wakati wenzao waliuliwa hawakuuliza kitu
 
Haya mambo yapo. Wengine huwa wanatoa kafara hadi watoto wao kisa mafanikio ya kisiasa. Yaani ukiamini waganga utajikuta unafanya mambo ya ajabu.

Umeongea ukweli hapa ukiwa mtu wa kufanya shirki sana aiseeh inakua kama mla unga Kila siku unazidi
 
Jana mbona dr. isack alitoa pole kwa babu tale kwenye kipindi cha njia panda, na akampigia mwimbo wa madee kazi yake mola ili kumfariji babu tale.
 
100% true dada yangu,watu wanaamini ukipost ndio umeguswa na siku hizi wameturahisishia kuna viemoji vya huzuni,machozi basi unavipost.

Njia nzuri ya kumfariji mgonjwa au mfiwa ni kwenda kumfariji ana kwa ana hii ya kupost tu alafu unaendelea na mambo yako ni upuuzi,bora huspost tu.

Ukipost mtu siku akifa ndio kipimo cha utu

Bado elimu ni tatizo
 
Pole mkuu

Babu tale huwa anasema, na ni mshirikina mzuri


Kila mtu anamjua, nadhan ulikuwa bado wewe


Kifo hiki binafsi siamini ushirikina

Ila hautaweza zuia watu kumsema kama yeye mara kadhaa ashakiri kushiriki ushirikina
alikiri wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…