TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Kila mtu anafiwa na hakuna mtu mwenye experience ya kufiwa.

But inapotokea mtu Fulani akawa anapatwa na misiba sana NI Jambo linalo fikirisha. Yafaa watu kuhoji kunani?

NI mipango ya Mungu au Kuna mikono ya watu?

Niliwahi kuandika hapa mbona ndugu yetu babu Tale anapatwa na misiba ya mara Kwa mara?

Isije ikawa NI maadui zake Wana mfanyia mambo ya kiswahili!!!


Anyways Babu Tale amefiwa na MKE wake.

MWENYEZI Mungu akutie nguvu Kaka na akupe subra katika kipindi hiki kigumu wewe pamoja ba watoto wako na amlaze Marehemu mahali pema peponi Amen
Watu kama wewe ndo wanaoenda kwa waganga kutafuta mchawi
 
Mi naona unafiki tu unaendelea mitandaoni. Ni sawa na waandishi kukomalia kifo cha George Floyd wakati wenzao waliuliwa hawakuuliza kitu
 
Haya mambo yapo. Wengine huwa wanatoa kafara hadi watoto wao kisa mafanikio ya kisiasa. Yaani ukiamini waganga utajikuta unafanya mambo ya ajabu.

Umeongea ukweli hapa ukiwa mtu wa kufanya shirki sana aiseeh inakua kama mla unga Kila siku unazidi
 
Hii inanipa picha utu sasa umekwisha ,pesa imefunika utu wetu na udugu wetu... Niliona kwa diamond katika sakata la kifo cha Ruge.... Sasa Leo Millard ayo kapotezea kabisa juu ya msiba Wa mke Wa babu tale.... Jamani just advice to you people....pesa zitabaki duniani daima....Bali kila nafsi kuonja mauti.... Jaribu kuliweka file lako la duniani vizuri... Chuki,fitina ,visasi,majigambo havijengi.... Kumbukeni yupo mwenye kutupa uzima na hii hafya ....kesho akichukua pumzi yake sisi ni takataka ,akichukua hafya yake nakwambia marafiki wote watakukimbia....hata wakukupa panadol utamkosa....... People are good when you are good......
Jana mbona dr. isack alitoa pole kwa babu tale kwenye kipindi cha njia panda, na akampigia mwimbo wa madee kazi yake mola ili kumfariji babu tale.
 
100% true dada yangu,watu wanaamini ukipost ndio umeguswa na siku hizi wameturahisishia kuna viemoji vya huzuni,machozi basi unavipost.

Njia nzuri ya kumfariji mgonjwa au mfiwa ni kwenda kumfariji ana kwa ana hii ya kupost tu alafu unaendelea na mambo yako ni upuuzi,bora huspost tu.

Ukipost mtu siku akifa ndio kipimo cha utu

Bado elimu ni tatizo
 
Pole mkuu

Babu tale huwa anasema, na ni mshirikina mzuri


Kila mtu anamjua, nadhan ulikuwa bado wewe


Kifo hiki binafsi siamini ushirikina

Ila hautaweza zuia watu kumsema kama yeye mara kadhaa ashakiri kushiriki ushirikina
alikiri wapi?
 
Back
Top Bottom