TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Ni muendelezo wa Imani za kishirikina huyo salama nae mshirikina tu Kama harmonize sema Kiba hapendi kujionyesha [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima ukiwa msibani kuna vitu vingine unaangalia kama vipo sawa na unaonesha utaratibu upoje, siyo umekaa na kwa dar wahuni wanabeba gari inapitishiwa kwa juu ukutani
Weee acha zako kwan huyo tale hana ndugu, jamaa, marafiki, na watu wa karibu? Khaaaaah mda wote macho juu juu na kuzunguka , yaan pale anaingia diamond et anampa maelekezo sehem ya kuchukua udhu, khaaaaaaah
 
Hahahaaa [emoji3] safi
Jomoneeeeh acha bhana tale kaboa kutoa kafara mkewe, mbona sample za utajili n nyingi tyuuh tena ts easy, angemuambia mganga wake asimpe ya kuua, ila yeye mwenyew tale awe anatoa funza mwilin kwa week mara 2, simple tu mkwanja unaingia kwa wingi au km huo ubunnge anaupata, fresh maisha yanasonga km kawa.
 
kwahyo mie tale sijamuona? Au naropoka hapa? Hilo unalosema weeee labda n huko mazishini, na wala halii in real muongo tyuuh, kwa ukunga upi huo aaaaaah, cheeeefuuuuuuuuuuh
 
Dea imagine mkewe anaenda kwa makonda na jokate kuwaomba msaada wawalee wanae na kuwapa protection, km akifa huku yeye akiwa n mgonjwa, hivi huon ishara yeyote? Mweeeeeeeh
Napitia comments zote kwa umakini

Wala siioni hoja yako
 
kwahyo mie tale sijamuona? Au naropoka hapa? Hilo unalosema weeee labda n huko mazishini, na wala halii in real muongo tyuuh, kwa ukunga upi huo aaaaaah, cheeeefuuuuuuuuuuh
Ulimtongoza akakutolea nje nn ?chuki za nn kwa mtu ambae hamna uhusiano wowote wala hakuna mwenye effect au impact yeyote kwenye maisha ya mwenzie

chuki inatoka wapi??
 
Alitakiwa awe analia muda wote au alitakiwa afanyeje ili nyinyi muone ana huzuni ?
 
Mitandao ya kijamii imejaa vilaza wengi sana, sema wanalindwa na kipengele cha freedom of expression.
 
Ulimtongoza akakutolea nje nn ?chuki za nn kwa mtu ambae hamna uhusiano wowote wala hakuna mwenye effect au impact yeyote kwenye maisha ya mwenzie

chuki inatoka wapi??
Sina chuki nae, halafu km umeshindwa kunipinga kwa hoja bas ungekaa kimya, na ulishajua kati ya me na tale hakuna uhusiano wowote wala effect ktk maisha ya kila m1, sasa kipi kimekufanya u react hivi? Sorry broohz kaa kwa kutulia, kunywa maji mengi afu relaaaaaaaaaaaaaax.
 
Wee hujui chochote kaa kimya tyuuh, kwan unataka wote tuwe na mtazamo sawa? Amini unavoona kwako n sawa, na pia me vilevile, aaaaah yaan msiba wa mke uwe bizze na kuchat khaaaah damon lol.
Unavyosema yupo busy na kuchat ni kama vile alikuwa anachat na wewe kumbe ni chuki zako na hisia zako mbovu tu.

Ila siku za karibuni nimeamini kweli watu hoihae wanahisi watapata nafuu ya maisha kwa kuwachukia waliowazidi kimaisha.
 
Sasa je ameshika cm ana type kwahyo hakuwa ana chat? Hilo jingine ni wazo na fikra zako, hazinihusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…