Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Wenye mawazo ya ovyo kama yako wapo kila mahali , sishangai, ila natamani mpate mabadiliko.Sasa je ameshika cm ana type kwahyo hakuwa ana chat? Hilo jingine ni wazo na fikra zako, hazinihusu
Mbona sielewi hizi msg za Huyu dada marehemu kwa watu akiwaomba wamsaidie kulea watoto wake? It means alijua atakufa?
Maskini shammy Kama aliona haponi Hadi akamuomba joketi, na makonda wamulelee wanawe
Kamuulize makonda kipi kilimsibu shammy hadi akaenda kwake kuomba protection ya wanae km akifariki, tena kwa msititizo juu pa1 na mam keegan.
Na wakati huo alikuwa mgonjwa. Tusichoshane bhana khaaaaah.
Sio vilio vyote ni vya uchungu, vingine ni vya furaha baada ya kumaliza kazi iliyokua inamuumiza kichwa mda mrefu
Kwa imani ya dini zao hata hilo jeneza halikupaswa kutumika.
Inabidi apakarabati na anunue pazia zuri, na stuli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah
Mmoja japo kuna kipindi huyu mdada alicharuka akimtuhumu kutokuwa mwaminifu,wanawake tunapambana na mengi kwenye mandoa acha tuHivi tale ana wake wawili!?
Mmoja japo kuna kipindi huyu mdada alicharuka akimtuhumu kutokuwa mwaminifu,wanawake tunapambana na mengi kwenye mandoa acha tu
Japo ni uzi wa msiba ila mkuu dah [emoji28][emoji28][emoji119]Wekeni yutyubu mpate vyua mumkimbize Alikiba.
Poleni wafiwa.
Dah watu mnachamba [emoji28][emoji28]Dah! apumzike kwa amani nimeumia sana bora angekuwa yule mke wa said fella mama muuza mikorogo na mwenyewe ngozi kama kitimoto
Ccm imejenga fikra za watu maskini kuwachukia waliowazidi kiuchumiCheck his photo utaelewa
Kwa Nini watu mnamuongelea mtu vibaya kwenye kipindi Cha shida Kama hiki anachopitia,haya ni matumizi mabaya ya social media,badala ya kutoa pole Kwa wafiwa mnabaki kupigia chapuo Mambo ya ulozi ,shame on you
View attachment 1492580
Michepuko yako inakusumbua kiasi hicho ?Namshauri huyo Mwanaume kama alikuwa na mchepuko au michepuko yeyote ampige chini mazima maana imeshakuwa kama mkosi au nuksi kwenye familia!
Piga chini wote, hope muda wa kutosha katika kumuenzi mkeo na Mwenyezi Mungu akusaidie kwenye malenzi ya watoto.