Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Wenye mawazo ya ovyo kama yako wapo kila mahali , sishangai, ila natamani mpate mabadiliko.Sasa je ameshika cm ana type kwahyo hakuwa ana chat? Hilo jingine ni wazo na fikra zako, hazinihusu
Mimi huwa nina kawaida ya kusoma thread za jf, na kama iko funny huwa najikuta nacheka, nashangaa wanaonizunguka wananiambia niache ku chat, wakati muda huo sichat na mtu yoyote.
Hopeless people are everywhere.