TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Sasa je ameshika cm ana type kwahyo hakuwa ana chat? Hilo jingine ni wazo na fikra zako, hazinihusu
Wenye mawazo ya ovyo kama yako wapo kila mahali , sishangai, ila natamani mpate mabadiliko.

Mimi huwa nina kawaida ya kusoma thread za jf, na kama iko funny huwa najikuta nacheka, nashangaa wanaonizunguka wananiambia niache ku chat, wakati muda huo sichat na mtu yoyote.

Hopeless people are everywhere.
 
Maskini shammy Kama aliona haponi Hadi akamuomba joketi, na makonda wamulelee wanawe

Unajua ukitaka kufa huwa kuna maono wachache sana hawapati lakin wengi huona wanakufa na ndio maana unaona kaacha hayo kwa jokate na makonda
 
Kamuulize makonda kipi kilimsibu shammy hadi akaenda kwake kuomba protection ya wanae km akifariki, tena kwa msititizo juu pa1 na mam keegan.
Na wakati huo alikuwa mgonjwa. Tusichoshane bhana khaaaaah.

Lakin bibie anaonekana kama kaugua muda mrefu
Maskin ,wanaosema corona angeruhusiwa kwenda kwa makonda
 
Mmoja japo kuna kipindi huyu mdada alicharuka akimtuhumu kutokuwa mwaminifu,wanawake tunapambana na mengi kwenye mandoa acha tu

kuna kipindi kama niliona anafunga ndoa nikajua kaongeza mke kumbe ni shamsa tu
 
Check his photo utaelewa
Kwa Nini watu mnamuongelea mtu vibaya kwenye kipindi Cha shida Kama hiki anachopitia,haya ni matumizi mabaya ya social media,badala ya kutoa pole Kwa wafiwa mnabaki kupigia chapuo Mambo ya ulozi ,shame on you
Image_1593452736.jpg
 
Eti alikuwa kuna wakati anakuwa kama amechanganyikiwa kuropoka si kuropoka Yani kama maruweruwe fulani.

Inasemekana huenda ni mambo ya mikono ya watu.

Lakini sizani kama ni vema kumhukumu mume wake moja kwa moja, mtamfanya aumie zaidi ikiwa hajafanya hivyo!

Pengine alofanya ni mtu au watu wengine kabisa, huwezi jua pengine hata upande wa kwao kwa mama n.k.

Yule kaka kama hajahusika mtamliza mara mbili jamani!

Kama kuna watu wa karibu wataweza kueleza kiundani.
 
Hizi familia wakati mwingine mtu unaoa au kuolewa ukiwa hujui mioyo ya hao watu !

Saingine michepuko mingine iko radhi kuangamiza wenzao huku wakijidanganya kuwa huenda akapewa nafasi ya pili kuziba pengo!

Hayo yote yawezekana.

Jamaaa akitulia kwa Neema ya Mwenyezi Mungu ataweza kuujua ukweli wote kama atakuwa yeye hajahusika.
 
Check his photo utaelewa
Kwa Nini watu mnamuongelea mtu vibaya kwenye kipindi Cha shida Kama hiki anachopitia,haya ni matumizi mabaya ya social media,badala ya kutoa pole Kwa wafiwa mnabaki kupigia chapuo Mambo ya ulozi ,shame on you
View attachment 1492580
Ccm imejenga fikra za watu maskini kuwachukia waliowazidi kiuchumi
 
Namshauri huyo Mwanaume kama alikuwa na mchepuko au michepuko yeyote ampige chini mazima maana imeshakuwa kama mkosi au nuksi kwenye familia!

Piga chini wote, hope muda wa kutosha katika kumuenzi mkeo na Mwenyezi Mungu akusaidie kwenye malenzi ya watoto.
 
Michepuko yako inakusumbua kiasi hicho ?
 
Back
Top Bottom