TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia


[emoji3][emoji3] Vick bana! Uzuri mi na wewe hatujaanza kuchambana humu leo! Tangu enzi za nyuzi za Zari huko..... acha roho mbaya hiyo bibi wewe, kuwashuhudia wenzio mabaya kila siku.
 
Yule aliemchoma mke wake kwa gunia kule kigamboni?
 
Kifo kipo tumeumbiwa Binadamu.Ni suala la mda tu ukifika unakwenda.,Si vizuri kutoa shutuma nzito kwa mume wa marehemu.Usilolijua litakusumbua.Pumzika salama Shammy nails.Mungu akawe mfariji wa watoto wako.Amen.
 
Yule aliemchoma mke wake kwa gunia kule kigamboni?
Mosi, sijasema kuua mke haiwezekani bali nimesema si jambo dogo; pili mazingira ya huyo unayemtaja na mada hii hayafanani hata kidogo! Au na huyo wa Kigamboni alimuua mkewe ili atoe kafara?!

For what I know, yule wa Kigamboni hapakuwa na maelewano kwenye ndoa, na kwahiyo ni mauaji yaliyotokana na hasira!!
 
Ndio hapo Sasa Kama watu Wana mshuku tale kwa kifo Cha mkewe sio kuwa wanakurupuka

Wanahisi maana jamaa amejiweka wazi mwenyewe kwamba yeye Ni mshirikina kindakindaki .

Sasa kifo Cha ghafla Cha mkewe watu lazima wawe na mshaka huwezi wazuia .

Anyway ajue Mola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3] Vick bana! Uzuri mi na wewe hatujaanza kuchambana humu leo! Tangu enzi za nyuzi za Zari huko..... acha roho mbaya hiyo bibi wewe, kuwashuhudia wenzio mabaya kila siku.
Roho mbaya na umaskini ni ingredients za kutosha kabisa za kumfanya mwenye nazo awe na chuki.
 
Kuua kwa kutoa kafara unakupimaje ?
 
Mpenzi-rafiki mie wa ndoa basi? Ni wewe tu umenichunia ati kwa sababu Laizer wa Tanzanite ni nduguyo! [emoji3] vibaya hivyo....
Hamna bhana, unajua fika kwamba siwezi kukuchunia! Naanzaje kwa mfano kukuchunia mtoto mashallah mzuri mzuri kama wewe wakati kufanya hivyo ni sawa na kutenda makosa sita ya jinai kwa mpigo!!

In fact, Uncle Laizer isn't just a ndugu, yule ni uncle kabisa, toka nitoke na mama ake na mimi! Lakini angalizo ni kwamba, hivi sasa hapa home tunamuita Uncle Lay! Mnaanzaje kwa mfano kumuita Laizer wakati hata WCB nako kuna Laizer?!

Mpeni heshima yake uncle angu tafadhali!
 
Lakini siamini kwamba wanafanya hivyo eti kisa tu alisema yeye huwa anaenda kwa waganga!!! Na ndio maana nikasema kama kwenda kwa waganga ingekuwa ndo kuwa na uwezo wa kuua, mbona familia nyingi ingekuwa zimeteketea manake Wabongo na wenyewe hawajambo kwa haya mambo!

Ukiangalia hapa ni u-team tu wa Diamond vs Kiba ndio unawafanya watu waseme hivyo na wala hakuna kingine!!
 

Hahah hatari sana, nimalize kwa kusema mimi na wewe tutaonana kwenye kilinge chetu.
 
Music industry inaongozwa na "illuminat"
Ila watu hawataki huo ndo ukweli ili ufanikiwe upande huo lzm ukubaliane nao,hutaki utasota na kupotea!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hata mi imenishangaza,nimeona picha ,clip insta utafikiri hajafiwa sijaelewa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…