TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Pia katika wimbo wa Kazi yake Mola WA Madee wale wote ni familia ya Babu Tale. Jamaa kapata mitihani mikubwa Sana. Kupoteza watu wengi kiasi hicho ndani ya muda mfupi sio Jambo rahisi
Fanya tu kusikia haya mambo!
 
Kwahiyo kila kijana anaekufa anakuwa amekufa kwa ushirikiana Kama hajafa kwa HIV, accident au pandemic disease!... Basi hii nchi ina vijana wa hovyo wenye akili fupi sana.
Wewe ndo wa hovyo unakrupuka , jitahd uwe positive Kwanza kabla ya kuruhusu negativity kuongoza ubongo wako wenye kamasi
 

Yaani nimeogopa sana text yake aliyomtumia Jokate, aiseee, nimefikiria sana
 
Hana cheti cha form four haajiriki!
 
Hana cheti cha form four haajiriki!
sio lazma kila mtu aajiriwe, Wengine wataajiriwa ila wapo Wengine wataanzisha Business Ventures zao wao wenyewe na watajiajiri wenyewe na pia wataajiri wengine.
Maana tukitaka kila mtu awe na mawazo ya kuajiriwa tu, basi makampuni binafsi yasingekuwepo Tanzania, Sababu Kampuni Binafsi nyingi zimeanzishwa na watu waliojiajiri wenyewe.
 
Aisee kweli, kuna mshkaji mmoja ni fundi magari ana garage yake na anafundisha madogo mtaani kuhusu magari, pia kibongo bongo ana maendeleo freshi tu ( nyumba, gari n.k)..ila akishia piga masanga anaanza kutoa husia kwa madogo "pigeni kitabu, Mimi bro wenu sikusoma sina elimu, najutia sana..n.k" ... Sasa waga najiuliza huyu anataka elimu gani tena nyingine wakati ukimpelekea kindinga chako kibovu anakirekebisha freshi kabisa...kwanza binafsi siku hizi naona vyuo kama veta vinaumuhimu kuliko hata hivi vya peni na karatasi kwa saana
 
Kuajiriwa na kuajirika ni haki ya kikatiba kwa raia wote.

Wabunge wa ccm wamejipa haki ya kula keki ya taifa wao peke yao wengine eti tukajiajiri (why not them?)
 
Sasa we unawajua sana wale?
Alikufa Mwanahawa na Ali Zungu (Ali Taletale) walifuatana sana kiasi mpaka Madee akatunga wimbo wa Kazi yake Mola na ndani akayataja majina hayo. Huyu mwanahawa aliacha mtoto mdogo sana Ibra Modo nadhani sasa hivi atakuwa mkubwa sana. Kasikilize kazi yake Mola ya Madee kuna sehemu anaimba "Ibrah modo anauliza, mjomba Idd kwani mama yupo wapi? nanibidi kudanganya huku sitaki" Idd kwa sasa yuko Sweden.

Baadae akafa Zai, Zai alikua dada yake na Idd kwa uzazi. Alienda kuzikwa Moro pia. Miaka kadhaa imepita. Akaja Abdu Bonge na sasa mke wa Babu Tale.

Mi siamini chochote naona ni vifo tu natural.
 
Familia ikiisha atahamia kwa watoto
 
Chezea kafara weyeeeeeeeeeeh, mambo yametick.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…