[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atakaa kwa kutulia tyuuh, hakuna namna.Mtela aliekuwa boss wa vijana Chadema kipindi kile. Sasa sijui atapangiwa kazi gani maskini [emoji848][emoji848]
mzee rumors ni kwamba tale ndo mkono mchafu wenyeweKila mtu anafiwa na hakuna mtu mwenye experience ya kufiwa.
But inapotokea mtu Fulani akawa anapatwa na misiba sana NI Jambo linalo fikirisha. Yafaa watu kuhoji kunani?
NI mipango ya Mungu au Kuna mikono ya watu?
Niliwahi kuandika hapa mbona ndugu yetu babu Tale anapatwa na misiba ya mara Kwa mara?
Isije ikawa NI maadui zake Wana mfanyia mambo ya kiswahili!!!
Anyways Babu Tale amefiwa na MKE wake.
MWENYEZI Mungu akutie nguvu Kaka na akupe subra katika kipindi hiki kigumu wewe pamoja ba watoto wako na amlaze Marehemu mahali pema peponi Amen
Mi sijaelewa kitu my?Uwiiiiiiiiiiih kumbe huu ubuyu unao? Mwenyewe nmebaki [emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]
Kabisa, JoJo kafanyaje nae kwani?Dea mjini pazito, heri ushinde njaa sio kukosa bundle, maan mambo n mengi af muda hauruhusu, tunakimbizana nayo hivyo tyuuuh
aliekuwa anataka kugombea ubunge ni tale au mkewe?Alikua amejiandaa na yupo kwenye michakato kugombea ubunge UWT viti maalumu..RIP Shamsa
Unamaanisha nini mkuuNi msiba ila tuwe makini tunapotumia madawa ya magonjwa makubwa. RIP mdada.
Jomoneeeh huon hapo wadau wanafungua code, hebu jisomeee, kaharibu ugali wa jamaa fulan hivi, alikuwa boss wa vijana chadema hapo zaman. Leo mzee wa nyumba kanuna km sio kuvimba. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa, JoJo kafanyaje nae kwani?
Taarifa za kinafiki,hazina hata chanzo cha kifo!
Kamfukuzisha kazi?Jomoneeeh huon hapo wadau wanafungua code, hebu jisomeee, kaharibu ugali wa jamaa fulan hivi, alikuwa boss wa vijana chadema hapo zaman. Leo mzee wa nyumba kanuna km sio kuvimba. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siri ni kubwa sana Mungu mm nafunga mdomo. Itajulikana siku moja.Habari zilizotufikia punde ni kuwa mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Hamisi Tale au Babu Tale) aitwaye Shamsa Tale almaarufu kama Shammy Nails amefariki.
Pole kwa familia ya Babu Tale maana ameacha watoto wadogo.
View attachment 1490835
View attachment 1490828
Una maanisha nini?Alikua na magonjwa Makubwa?Ni msiba ila tuwe makini tunapotumia madawa ya magonjwa makubwa. RIP mdada.
Duh! Ulisoma wapi?Mhh niliwah soma sehemu upande wa kina tale kunakuwa na vifo vya ajabu ajabu...rip dada
Hazi kutoshi kichwaniHatimae Tale kaamua kumtoa kafara mkewe kisa Ubunge,R.I.P Shamsa. Na ubunge hatopata fala huyu.
Hivi haya maneno watu huwa mnatoa wapi!
Humu humu jfDuh! Ulisoma wapi?
Umekariri kila siku ni koona! Pole kwa kukaa mjini huku hujui kinachoendelea.Habari zake tunazo. Haya babu Tale! Naona awamu ile iliwapitieni mbali ila kwa sasa imefyeka na itaendelea kufyeka hadi tuelewe kuwa kujikinga ni muhimu!
Hahaha, aseeSiri ni kubwa sana Mungu mm nafunga mdomo. Itajulikana siku moja.
Duh haya!Humu humu jf
Hmm! Dunia hiiHatimae Tale kaamua kumtoa kafara mkewe kisa Ubunge,R.I.P Shamsa. Na ubunge hatopata fala huyu.