cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Tena ni mama ake mzazi kumbe, [emoji24][emoji24][emoji24]Huyo paka lazima alikuwa ndondocha lake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena ni mama ake mzazi kumbe, [emoji24][emoji24][emoji24]Huyo paka lazima alikuwa ndondocha lake
Chezea utajiri weyeeeh, lazima huruma, hofu, woga, uviondoe kabisaaah.Huyo mkwe ni noma
Anafiwa kila baada ya miaka mingapi?Mhh niliwah soma sehemu upande wa kina tale kunakuwa na vifo vya ajabu ajabu...rip dada
Mkuu hii Dunia ina mengi, acha kabisaaah. Watu wanafanya mambo hadi inaogopesha khaaaah.Aiseeee
Paka ndio alikuwa maza
Hii duh
Huko kwenye siasa hali n mbaya, tukisema tutoe siri dunia inatikisika khaaaah.Kuna mbunge mmoja nafahamiana nae aisee tangu aingie kwenye siasa kawa mshirikina vibaya sana
Yaani siasa na ushirkina ni Chanda na Pete Hasa Hasa hawa wa CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Unavyoongea with confidence sounds like wewe ndo mganga mwenyewe utakayemaliza hilo kafara! Yaani wewe likitokea jambo, lazima uhusishe na ushirikina, manake hata Darrasa alivyopata ajali, ulisema hivi:-Ndiyo nina utu,ndo maana nimeumia fala mmoja kutoa mkewe kafara kisa ubunge. Bora ukose mali ila usikose Hekima.
Dah , wbc wako kazini.Kamati ya ufundi ikiongonzwa na wale watu wafupi . Wamekushindwa Darasa .
Weee huyo achana nae Hawezi kukuelewa, watu tunawajua hadi Askofu wa jimbo akawa n mchawi, na alikuwa na mradi wa madini, baada ya mambo yake kufukunyuliwa leo hii ni kichaa. Aaaaah atasema nn bhan.Basi anapata ya hela kulia mboga.
Huwezi kuwa bilionea wa madini bila kuwa mshirikina
Mkuu mbona naona wote hapo wapo busy na simu kasoro mbongo fleva namba one diamond ndo hajashika simu 🤷Kwanamna nijuavyo mke anauma sana tena sana. Ni ajabu na kweli katika hali hii mtu yuko busy na simu wakati wa msiba. Mke ananiachia watoto wanne...Nawaza watoto wanakua bila Mama, Nawaza ni nani atakayefit kunisaidia kuwalea hao watoto. Sidhani hata mama ataweza hili..Nimewaza sana na kuconclude ya walimwengu, sometimes usikute yana ukweli mtupu.
Picha kwa hisani ya Dar_story IG Account
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1491215
kwaiyo Ayo lizer nae yumoWeee huyo achana nae Hawezi kukuelewa, watu tunawajua hadi Askofu wa jimbo akawa n mchawi, na alikuwa na mradi wa madini, baada ya mambo yake kufukunyuliwa leo hii ni kichaa. Aaaaah atasema nn bhan.
Ndio mkuu siku yako kama imefika basi utafariki tu mi nina mfano ata kwangu tu ushatokea mwaka mmoja tena miezi miwili tofauti mwezi 11 nilimpoteza binamu yangu , mwezi 12 tena ilikuwa sikukuu nilipoteza mjomba wangu sisi tupo msibani wengine wapo kwenye Christmas,Sioni kama kuna tatizo mtu kufiwa mara kwa mara. Hali hii inatokea tu kwamba watu wako wa karibu wamemaliza muda wao wa kuishi duniani maana kifo ni kila mtu kwa zamu yake... ni kama wooote tuko kwenye foleni, foleni yako ikifika unakufa. so sio vibaya watu wa jamii moja mkawa kwenye foleni mmeongozana.
Kila nafsi itaonja mauti hakuna wa kuishi milele...
Ok ok twin...ilikuwa ghafla, au alilazwa?
Dunia kubwa hii mkuu.kwaiyo Ayo lizer nae yumo
Jamani hakuwa na makuu mwenyewe...mdada mpole sanaAlilazwa Muhimbili Twin
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Unavyoongea with confidence sounds like wewe ndo mganga mwenyewe utakayemaliza hilo kafara! Yaani wewe likitokea jambo, lazima uhusishe na ushirikina, manake hata Darrasa alivyopata ajali, ulisema hivi:-
Muulize aloandikaAnafiwa kila baada ya miaka mingapi?
Mwingine huyuNi loss sio lose
Tatizo mziki anaimba diamond,mgao apate salaam,tale,mkubwa fela bado madanser sijui director bado producer. Hivyo mapato siyo kivile. Na awamu hii madawa ya kulevya yamedhibitiwa ndo kabisa. Maana zamani walikuwa wakiuza ganda si haba wanapata pesa.
Sitaki kuamini mpaka kwenye misiba napo kuna uteam,ila endelea kupayuka matatizo hayana tofauti na mbio za vijiti kuna mda itafika zamu yako ya kukipokea hiko kijiti,hii mitihani usipayuke mpaka ukajitoa ufahamu ukazani wewe hayato kupata.........RIP Shammy.Hatimae Tale kaamua kumtoa kafara mkewe kisa Ubunge,R.I.P Shamsa. Na ubunge hatopata fala huyu.