TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Sioni kama kuna tatizo mtu kufiwa mara kwa mara. Hali hii inatokea tu kwamba watu wako wa karibu wamemaliza muda wao wa kuishi duniani maana kifo ni kila mtu kwa zamu yake... ni kama wooote tuko kwenye foleni, foleni yako ikifika unakufa. so sio vibaya watu wa jamii moja mkawa kwenye foleni mmeongozana.

Kila nafsi itaonja mauti hakuna wa kuishi milele...
 
Ndiyo nina utu,ndo maana nimeumia fala mmoja kutoa mkewe kafara kisa ubunge. Bora ukose mali ila usikose Hekima.
Unavyoongea with confidence sounds like wewe ndo mganga mwenyewe utakayemaliza hilo kafara! Yaani wewe likitokea jambo, lazima uhusishe na ushirikina, manake hata Darrasa alivyopata ajali, ulisema hivi:-
Dah , wbc wako kazini.Kamati ya ufundi ikiongonzwa na wale watu wafupi . Wamekushindwa Darasa .
 
Basi anapata ya hela kulia mboga.
Huwezi kuwa bilionea wa madini bila kuwa mshirikina
Weee huyo achana nae Hawezi kukuelewa, watu tunawajua hadi Askofu wa jimbo akawa n mchawi, na alikuwa na mradi wa madini, baada ya mambo yake kufukunyuliwa leo hii ni kichaa. Aaaaah atasema nn bhan.
 
Kwanamna nijuavyo mke anauma sana tena sana. Ni ajabu na kweli katika hali hii mtu yuko busy na simu wakati wa msiba. Mke ananiachia watoto wanne...Nawaza watoto wanakua bila Mama, Nawaza ni nani atakayefit kunisaidia kuwalea hao watoto. Sidhani hata mama ataweza hili..Nimewaza sana na kuconclude ya walimwengu, sometimes usikute yana ukweli mtupu.

Picha kwa hisani ya Dar_story IG Account
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1491215
Mkuu mbona naona wote hapo wapo busy na simu kasoro mbongo fleva namba one diamond ndo hajashika simu 🤷
 
Kwakweli nimesoma comments za watu tofauti tofauti na kuzielewa ila ni hivi siku zote kwenye msiba huwa apakosi maneno maneno si hata huku mtaani naona tu, mjadala ni hivi katoa kafala hajatoa kafala ni yeye na msalaba wake mwenyewe msipende kuhukumu,

Msije mkahukumiwa, r.i.p 🙏😞
 
Weee huyo achana nae Hawezi kukuelewa, watu tunawajua hadi Askofu wa jimbo akawa n mchawi, na alikuwa na mradi wa madini, baada ya mambo yake kufukunyuliwa leo hii ni kichaa. Aaaaah atasema nn bhan.
kwaiyo Ayo lizer nae yumo
 
Sioni kama kuna tatizo mtu kufiwa mara kwa mara. Hali hii inatokea tu kwamba watu wako wa karibu wamemaliza muda wao wa kuishi duniani maana kifo ni kila mtu kwa zamu yake... ni kama wooote tuko kwenye foleni, foleni yako ikifika unakufa. so sio vibaya watu wa jamii moja mkawa kwenye foleni mmeongozana.

Kila nafsi itaonja mauti hakuna wa kuishi milele...
Ndio mkuu siku yako kama imefika basi utafariki tu mi nina mfano ata kwangu tu ushatokea mwaka mmoja tena miezi miwili tofauti mwezi 11 nilimpoteza binamu yangu , mwezi 12 tena ilikuwa sikukuu nilipoteza mjomba wangu sisi tupo msibani wengine wapo kwenye Christmas,

Acha bwana.
 
Unavyoongea with confidence sounds like wewe ndo mganga mwenyewe utakayemaliza hilo kafara! Yaani wewe likitokea jambo, lazima uhusishe na ushirikina, manake hata Darrasa alivyopata ajali, ulisema hivi:-
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Chige miss u
 
Tatizo mziki anaimba diamond,mgao apate salaam,tale,mkubwa fela bado madanser sijui director bado producer. Hivyo mapato siyo kivile. Na awamu hii madawa ya kulevya yamedhibitiwa ndo kabisa. Maana zamani walikuwa wakiuza ganda si haba wanapata pesa.
Hatimae Tale kaamua kumtoa kafara mkewe kisa Ubunge,R.I.P Shamsa. Na ubunge hatopata fala huyu.
Sitaki kuamini mpaka kwenye misiba napo kuna uteam,ila endelea kupayuka matatizo hayana tofauti na mbio za vijiti kuna mda itafika zamu yako ya kukipokea hiko kijiti,hii mitihani usipayuke mpaka ukajitoa ufahamu ukazani wewe hayato kupata.........RIP Shammy.
Screenshot_20200629-101347.png
Screenshot_20200629-101401.png
 
Back
Top Bottom