TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Ila dea jaman tuache unafiki wee angalia reaction ya tale kweny huu msiba, yaan hata haoneshi kuguswa mda wote anazurura tu,
kaniacha hoi hapo wakati kutaka safari ya kuelekea Moro ianze, yeye anazurura barabaran huku akitafuta pikipiki yenye king'ora ianze kutangulia, aaaaaah
Umewahi kufiwa na mke, au mtu wa karibu sana?
Huwa akili zinaruka
 
  • Thanks
Reactions: amu
Umewahi kufiwa na mke, au mtu wa karibu sana?
Huwa akili zinaruka
Kufiwa na mtu wa karibu nimewahi, na hali yake naijua, ila tale hapan haoneshi hata km yeye n mfiwa, jaman akili kuruka ndio vile khaaaah, si atulie utaratibu unaendeshwa km ilivyopangwa. Jana imetumwa clip mtandaon yupo bize na cm tyuuh. Khaaah hadi watu wakawa wanahoji.
 
Ila dea jaman tuache unafiki wee angalia reaction ya tale kweny huu msiba, yaan hata haoneshi kuguswa mda wote anazurura tu,
kaniacha hoi hapo wakati kutaka safari ya kuelekea Moro ianze, yeye anazurura barabaran huku akitafuta pikipiki yenye king'ora ianze kutangulia, aaaaaah
Yaani mkewe kaugua kima ajabu,ukiona mke alikuwa anaomba misaada kwa watu wamlelee wanae incase akifa. Hapa inaonyesha kabisa Tale hafai. Mwanamke anaemwamini mmewe hawezi kwenda kwa kina Makonda akaongee vitu kama hivyo. Tale ni loser mshirikina mkubwa.
 
Asije akamaliza wanawe ushirikina mubaya Sana ukianza hauachi
 
Mbaya zaidi mkewe alijua kuwa lazima atolewe kafara ndio maana aliacha kabisa press, ili wanaobaki wajue namna gan wawa protect wanae, tale sio mtu mzuri kabisaa, ndugu wasipokua makini atamaliza wanae wotee maana hakutakua na kipingamizi kwake.
 
Kabisa.Nimeshangaa kuona hapa ndo kwao
20200629_143215.jpg
 
Mbaya zaidi mkewe alijua kuwa lazima atolewe kafara ndio maana aliacha kabisa press, ili wanaobaki wajue namna gan wawa protect wanae, tale sio mtu mzuri kabisaa, ndugu wasipokua makini atamaliza wanae wotee maana hakutakua na kipingamizi kwake.
Mbinafsi sana. Yaani yupo tayari kwa lolote hadi kutoa uhai watu wake wa karibu kisa afanikiwe. Sasa kwa asivyo na akili anafikiri atashinda ubunge.
 
Hivi una dhani ni rahisi kutoa kafara enhee? Tena kwa mtu unayeshea nae kitanda na mmezaa watoto?

Muda mwingine utajichumia dhambi bila sababu ya msingi
Wewe kama huwezi,kuna wenzako wanaweza. Wengine wanatoa hadi wazazi wao kafara sembuse mke ambae huna udugu nae ?
 
Back
Top Bottom