Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafara iyo hamna kitu hapo
Umewahi kufiwa na mke, au mtu wa karibu sana?Ila dea jaman tuache unafiki wee angalia reaction ya tale kweny huu msiba, yaan hata haoneshi kuguswa mda wote anazurura tu,
kaniacha hoi hapo wakati kutaka safari ya kuelekea Moro ianze, yeye anazurura barabaran huku akitafuta pikipiki yenye king'ora ianze kutangulia, aaaaaah
Nipo sawa asilimia mia n.kVictoire upo sawa kweli
Na observe sana comments zako nowadays naona hauko sawa
sure sure kabisa mkuu
ongea kama kuna shida tutakusaidia
Mtumishi wa Mungu msema ukweli.hakuna mtumishi wa Mungu asiye na busarabnamna hii,katubu!!
Kufiwa na mtu wa karibu nimewahi, na hali yake naijua, ila tale hapan haoneshi hata km yeye n mfiwa, jaman akili kuruka ndio vile khaaaah, si atulie utaratibu unaendeshwa km ilivyopangwa. Jana imetumwa clip mtandaon yupo bize na cm tyuuh. Khaaah hadi watu wakawa wanahoji.Umewahi kufiwa na mke, au mtu wa karibu sana?
Huwa akili zinaruka
Yaani mkewe kaugua kima ajabu,ukiona mke alikuwa anaomba misaada kwa watu wamlelee wanae incase akifa. Hapa inaonyesha kabisa Tale hafai. Mwanamke anaemwamini mmewe hawezi kwenda kwa kina Makonda akaongee vitu kama hivyo. Tale ni loser mshirikina mkubwa.Ila dea jaman tuache unafiki wee angalia reaction ya tale kweny huu msiba, yaan hata haoneshi kuguswa mda wote anazurura tu,
kaniacha hoi hapo wakati kutaka safari ya kuelekea Moro ianze, yeye anazurura barabaran huku akitafuta pikipiki yenye king'ora ianze kutangulia, aaaaaah
Asije akamaliza wanawe ushirikina mubaya Sana ukianza hauachiYaani mkewe kaugua kima ajabu,ukiona mke alikuwa anaomba misaada kwa watu wamlelee wanae incase akifa. Hapa inaonyesha kabisa Tale hafai. Mwanamke anaemwamini mmewe hawezi kwenda kwa kina Makonda akaongee vitu kama hivyo. Tale ni loser mshirikina mkubwa.
Kaumia sana Tale tuache ujuaji kwenye yasotuhusuUmewahi kufiwa na mke, au mtu wa karibu sana?
Huwa akili zinaruka
yap. Mungu ampe farajaI
Kaumia sana Tale tuache ujuaji kwenye yasotuhusu
Mbaya zaidi mkewe alijua kuwa lazima atolewe kafara ndio maana aliacha kabisa press, ili wanaobaki wajue namna gan wawa protect wanae, tale sio mtu mzuri kabisaa, ndugu wasipokua makini atamaliza wanae wotee maana hakutakua na kipingamizi kwake.Yaani mkewe kaugua kima ajabu,ukiona mke alikuwa anaomba misaada kwa watu wamlelee wanae incase akifa. Hapa inaonyesha kabisa Tale hafai. Mwanamke anaemwamini mmewe hawezi kwenda kwa kina Makonda akaongee vitu kama hivyo. Tale ni loser mshirikina mkubwa.
Kabisa.Nimeshangaa kuona hapa ndo kwaoAsije akamaliza wanawe ushirikina mubaya Sana ukianza hauachi
Mbinafsi sana. Yaani yupo tayari kwa lolote hadi kutoa uhai watu wake wa karibu kisa afanikiwe. Sasa kwa asivyo na akili anafikiri atashinda ubunge.Mbaya zaidi mkewe alijua kuwa lazima atolewe kafara ndio maana aliacha kabisa press, ili wanaobaki wajue namna gan wawa protect wanae, tale sio mtu mzuri kabisaa, ndugu wasipokua makini atamaliza wanae wotee maana hakutakua na kipingamizi kwake.
Heeeeeh yaan hapa ndio kwa kina tale? Khaaaaah mbna n tofaut sana, jaman hawa watu wanashindwa kutengeneza kwao? LolKabisa.Nimeshangaa kuona hapa ndo kwao View attachment 1492220
Wewe kama huwezi,kuna wenzako wanaweza. Wengine wanatoa hadi wazazi wao kafara sembuse mke ambae huna udugu nae ?Hivi una dhani ni rahisi kutoa kafara enhee? Tena kwa mtu unayeshea nae kitanda na mmezaa watoto?
Muda mwingine utajichumia dhambi bila sababu ya msingi
Yaan yetu macho tyuuh, na asipopata ubunge atatumia kwa namna nyingne maan fursa yeye si anazo nyingi.Mbinafsi sana. Yaani yupo tayari kwa lolote hadi kutoa uhai watu wake wa karibu kisa afanikiwe. Sasa kwa asivyo na akili anafikiri atashinda ubunge.