mart66
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 610
- 691
Yan watu wanaongea vtu visivyo na maanaMuwe na aibu mnavyotoa shutuma za uongo kwa watu msiowajua.
Mtu anaongea kama kweli vile,mtu unauhakik gani kama no kafara,
Afu wengi wanaongea hayo Mambo ni wanawake