TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Muwe na aibu mnavyotoa shutuma za uongo kwa watu msiowajua.
Yan watu wanaongea vtu visivyo na maana
Mtu anaongea kama kweli vile,mtu unauhakik gani kama no kafara,
Afu wengi wanaongea hayo Mambo ni wanawake
 
Yan watu wanaongea vtu visivyo na maana
Mtu anaongea kama kweli vile,mtu unauhakik gani kama no kafara,
Afu wengi wanaongea hayo Mambo ni wanawake
Mkuu hakuna kitu kibaya kama umaskini, hawa wangekuwa wana good life wasingepata muda wa kutunga tunga na kushupalia hadith zao za Juma na Uledi
 
Kuna interview yake moja nilishtuka sana...walikuwa na tamasha daressalaam kipindi hicho mvua nyingi...akasema wameenda kwa mganga na wana uhakika siku ya tamasha mvua haitonyesha...muandishi akamuuliza uko serious au unatania? Akajibu nipo serious kwasababu I'm a true African...ngumu sana kutomshuku kwenye tuhuma kama hizi, ingawa binafsi siamini kama kamslaughter wife ake...
Kweli mkuu, hata mimi nilimsikia alikuwa anahojiwa, ilikuwa ni tamasha la wasafi festival dsm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepimaje mpaka kutambua ana wa PhD au ulishindana naye akakushinda sababu wewe wa kwako ni wa level ya Master.

Manake siku zote mchawi humtambua mchawi mwenzie na ndio maana una kipimo cha kutambua level za uchawi.
Eeeh ndiyo nashinda nae kilingeni, una jingine?
 
Kuna uzi Mshana aliandika kuhusu haya mambo. Anasema mambo huwa yanaanza kwenye vitu vya kawaida sana, usije ukaenda kwa mganga ukaambiwa inatakiwa damu ya kuku ukaona kawaida...kuku tu. Dau linakuwa linapanda kadri unavyoendelea na ukishaingia huko kutoka si lelemama
KUKU WANAOAGIZWA NA HAO MNAOWAITA WAGANGA HUWA NI KWA AJILI YA KULA TU. AKILI KUMKICHWA!!! Kuku ni kitoweo kizuri sana tena chenye Chuzi flani swaaaafiiii.
Hakuna kingine.
 
I know this lady.Ni rafiki wa mdogo wangu wa kike.Zamani kwao walikuwa wakiishi Magomeni Kota!
May her memory always be a blessing!
 
Sitaki kuamini mpaka kwenye misiba napo kuna uteam,ila endelea kupayuka matatizo hayana tofauti na mbio za vijiti kuna mda itafika zamu yako ya kukipokea hiko kijiti,hii mitihani usipayuke mpaka ukajitoa ufahamu ukazani wewe hayato kupata.........RIP Shammy.
View attachment 1491928View attachment 1491929
Usimuumbue sana, anaweza kuwa mtu mzima sana huyo kwako!

All in all, nyuzi za JF, hususani za aina hii zinasaidia kukupa picha halisi ya watu walivyo deep inside their hearts!! Kwenye real world, watu tunaishi kwa kuigiza hususani kama tuna kaelimu kidogo!

Kinyume chake, hapa kwavile watu wamejificha kwenye keyboard, ndipo unapata tabia halisi za watu kupitia nyuzi na michango yao!

Kwa mfano, mtu asiyejua kwamba huwa sipendi kuzinguliwa, basi huwa hanisomi lakini ukija mtaani halafu ukagombana na mimi, watu wataamini umenionea tu kwa sababu hata ukinizingua, nitajitahidi kudhibiti hasira wakati that's not me!
 
Lakin bibie anaonekana kama kaugua muda mrefu
Maskin ,wanaosema corona angeruhusiwa kwenda kwa makonda
Wanaosema ni korona wanachukulia yale maelezo kwamba, hatua za mwisho wa uhai wake alikuwa hata kupumua mwenyewe hawezi, na akawa anasaidiwa na ventilator.

So, siku hizi pakishatokea changamoto cha upumuaji, watu wanajiongeza wenyewe na kutoa conclusion!!
 
Kwa imani ya dini zao hata hilo jeneza halikupaswa kutumika.
Hivi umeshawahi kuona maiti inasafirishwa kwa yale majeneza unayoyajua wewe?! Suala la imani halipo kwenye jeneza bali lipo kwenye kumzika, kwamba mwili uwe na contact na ardhi.

Lile jeneza unalolijua wewe ambalo unadhani linahusiana na dini, ni chombo tu cha kusafirishia maiti kutoka home hadi makaburini, and that's it! Unaweza kuibeba maiti hata kwa machela! Wakristo kwa mfano, kwa mijini tunatarajia maiti iwe kwenye sanduku na anazikwa na sanduku lake!

Tofauti kati ya Waislamu na Wakristo ndo hapo kwa Wakristo kuzikwa na sanduku lao ukiacha lile suala la kuaga maiti ikiwa wazi! But tell me, unataka kusema suala la kuzikwa na sanduku ni suala la kiimani?! Unadhani hadi vijijini huko wanazika na masanduku?!
 
Back
Top Bottom