TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Hivi umeshawahi kuona maiti inasafirishwa kwa yale majeneza unayoyajua wewe?! Suala la imani halipo kwenye jeneza bali lipo kwenye kumzika, kwamba mwili uwe na contact na ardhi.

Lile jeneza unalolijua wewe ambalo unadhani linahusiana na dini, ni chombo tu cha kusafirishia maiti kutoka home hadi makaburini, and that's it! Unaweza kuibeba maiti hata kwa machela! Wakristo kwa mfano, kwa mijini tunatarajia maiti iwe kwenye sanduku na anazikwa na sanduku lake!

Tofauti kati ya Waislamu na Wakristo ndo hapo kwa Wakristo kuzikwa na sanduku lao ukiacha lile suala la kuaga maiti ikiwa wazi! But tell me, unataka kusema suala la kuzikwa na sanduku ni suala la kiimani?! Unadhani hadi vijijini huko wanazika na masanduku?!
Ndyo n kiimani hata vijijini wakristo wanazika ndani ya sanduku, ila ahsante kwa kunielewesha kuwa wanaweza kutumia kwa kusafirishia tyuuh.
 
Ndyo n kiimani hata vijijini wakristo wanazika ndani ya sanduku, ila ahsante kwa kunielewesha kuwa wanaweza kutumia kwa kusafirishia tyuuh.
Asikudanganye mtu kwamba ni suala la kiimani, ni mambo ya kizungu na usasa tu hayo! Angalia hata zile filamu za Yesu, unaona wametumia sanduku pale?! Si wamemvirigia tu sanda, wakaenda kumhifadhi!!

Hata lile jeneza la Kiislamu, ni mambo ya kisasa tu yale hata kama yapo kwa miaka nenda rudi! Ona hapa wakati Mfalme wa Saudi Arabia anaenda kuzikwa! Hapakuwa na cha kumbeba kwenye jeneza wala nini:-
Jeneza.png

Sasa hapo ingekuwa ndo wale akina sisi, si ajabu wangetumia na jeneza lililonakishiwa na dhahabu kabisa. Kinyume chake, wao wamemviringa tu kwenye sanda, wakamfunika... done!!
 
Asikudanganye mtu kwamba ni suala la kiimani, ni mambo ya kizungu na usasa tu hayo! Angalia hata zile filamu za Yesu, unaona wametumia sanduku pale?! Si wamemvirigia tu sanda, wakaenda kumhifadhi!!

Hata lile jeneza la Kiislamu, ni mambo ya kisasa tu yale hata kama yapo kwa miaka nenda rudi! Ona hapa wakati Mfalme wa Saudi Arabia anaenda kuzikwa! Hapakuwa na cha kumbeba kwenye jeneza wala nini:-
View attachment 1492927

Sasa hapo ingekuwa ndo wale akina sisi, si ajabu wangetumia na jeneza lililonakishiwa na dhahabu kabisa. Kinyume chake, wao wamemviringa ti kwenye sanda, wakamfunika... done!!
Mmmmmh ouk sawa nimekuelewa.
 
Ndyo n kiimani hata vijijini wakristo wanazika ndani ya sanduku, ila ahsante kwa kunielewesha kuwa wanaweza kutumia kwa kusafirishia tyuuh.

Kwa wenye uwezo ,
Kwa wasio na uwezo huzika bila sanduku.

Nimeshawahi kushuhudia vijijini wakristo wakizika bila sanduku sababu uwezo wa kugharimia sanduku hawana!
 
Kwa wenye uwezo ,
Kwa wasio na uwezo huzika bila sanduku.

Nimeshawahi kushuhudia vijijini wakristo wakizika bila sanduku sababu uwezo wa kugharimia sanduku hawana!
Sio hawana uwezo sema labda marehemu aliacha wosia iwe hivyo, kijijin kuna masanduku ya mbao yanapakwa tu vanish ambayo n bei nafuu kila mtu ku afford. Na uhakika na nisemacho.
 
kna wakati namna unavozungumza na kutenda watu hawaitaji kujua ukubwa wa elimu uliyonayo na maarifa pia..jitafakari mkuu
Ukubwa wa akili ya mshauri sio kigezo cha ubora wa ushauri.

N:B ALIYEGUNDUA MOTO HAKUSOMA NA HAKUWA NA ELIMU YOYOTE.
(goma kutumia moto tukuone)

Tekeleza ushauri.
 
Kwa wenye uwezo ,
Kwa wasio na uwezo huzika bila sanduku.

Nimeshawahi kushuhudia vijijini wakristo wakizika bila sanduku sababu uwezo wa kugharimia sanduku hawana!
You're right... na ndio maana hata hao wenye uwezo, "wanashindana" kwa kuangalia uwezo wao na hatimae kuonekana nani miongoni mwao ana uwezo wa kutengeneza sanduku la gharama zaidi!

Akina sie, tunaenda tu kwa yale ambayo tayari yapo ya bei poa wakati wengine wanaenda na custom-made coffins!
 
Victoire You have a wicked heart! Wanawake hatuko hivyo jamani, watu humu hawakwambii tu sijui wanaogopa utawaatack [emoji3] Acha hiyo roho wewe mwanamke!
Usigenerolaizi bwana. Mimi ni mwanamke na robo tatu. Hatuwezi kuwa na mawazo sawa. Just bicozi iam not in the same wavelength as you eti basi am wikedi. Ohooooooooo.Tukubali kutokukubaliana mimi ni mpakwa mafuta ninajua vitu beyond your capacity. Tofautisha kuwa deep kwenye kijiko na kuwa deep kwenye pacific ocean. Yes am wicked.....Kwani wewe unaongeza ama kupungukiwa nini ?Kipe Yayo...ma camarade na ngai.
 
Kumbe watanzania wengi ni wapumbavu wenye timamu ni wachache
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom