cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Uwiiiiiiiih sawa nakuja lolsikufundishi ulozi bali mimi ni mganga ambaye ningependa kuwa rafiki yako. Hivo njoo kwa inbox
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwiiiiiiiih sawa nakuja lolsikufundishi ulozi bali mimi ni mganga ambaye ningependa kuwa rafiki yako. Hivo njoo kwa inbox
Ndyo n kiimani hata vijijini wakristo wanazika ndani ya sanduku, ila ahsante kwa kunielewesha kuwa wanaweza kutumia kwa kusafirishia tyuuh.Hivi umeshawahi kuona maiti inasafirishwa kwa yale majeneza unayoyajua wewe?! Suala la imani halipo kwenye jeneza bali lipo kwenye kumzika, kwamba mwili uwe na contact na ardhi.
Lile jeneza unalolijua wewe ambalo unadhani linahusiana na dini, ni chombo tu cha kusafirishia maiti kutoka home hadi makaburini, and that's it! Unaweza kuibeba maiti hata kwa machela! Wakristo kwa mfano, kwa mijini tunatarajia maiti iwe kwenye sanduku na anazikwa na sanduku lake!
Tofauti kati ya Waislamu na Wakristo ndo hapo kwa Wakristo kuzikwa na sanduku lao ukiacha lile suala la kuaga maiti ikiwa wazi! But tell me, unataka kusema suala la kuzikwa na sanduku ni suala la kiimani?! Unadhani hadi vijijini huko wanazika na masanduku?!
Asikudanganye mtu kwamba ni suala la kiimani, ni mambo ya kizungu na usasa tu hayo! Angalia hata zile filamu za Yesu, unaona wametumia sanduku pale?! Si wamemvirigia tu sanda, wakaenda kumhifadhi!!Ndyo n kiimani hata vijijini wakristo wanazika ndani ya sanduku, ila ahsante kwa kunielewesha kuwa wanaweza kutumia kwa kusafirishia tyuuh.
Mmmmmh ouk sawa nimekuelewa.Asikudanganye mtu kwamba ni suala la kiimani, ni mambo ya kizungu na usasa tu hayo! Angalia hata zile filamu za Yesu, unaona wametumia sanduku pale?! Si wamemvirigia tu sanda, wakaenda kumhifadhi!!
Hata lile jeneza la Kiislamu, ni mambo ya kisasa tu yale hata kama yapo kwa miaka nenda rudi! Ona hapa wakati Mfalme wa Saudi Arabia anaenda kuzikwa! Hapakuwa na cha kumbeba kwenye jeneza wala nini:-
View attachment 1492927
Sasa hapo ingekuwa ndo wale akina sisi, si ajabu wangetumia na jeneza lililonakishiwa na dhahabu kabisa. Kinyume chake, wao wamemviringa ti kwenye sanda, wakamfunika... done!!
Ndyo n kiimani hata vijijini wakristo wanazika ndani ya sanduku, ila ahsante kwa kunielewesha kuwa wanaweza kutumia kwa kusafirishia tyuuh.
Sio hawana uwezo sema labda marehemu aliacha wosia iwe hivyo, kijijin kuna masanduku ya mbao yanapakwa tu vanish ambayo n bei nafuu kila mtu ku afford. Na uhakika na nisemacho.Kwa wenye uwezo ,
Kwa wasio na uwezo huzika bila sanduku.
Nimeshawahi kushuhudia vijijini wakristo wakizika bila sanduku sababu uwezo wa kugharimia sanduku hawana!
Ukubwa wa akili ya mshauri sio kigezo cha ubora wa ushauri.kna wakati namna unavozungumza na kutenda watu hawaitaji kujua ukubwa wa elimu uliyonayo na maarifa pia..jitafakari mkuu
You're right... na ndio maana hata hao wenye uwezo, "wanashindana" kwa kuangalia uwezo wao na hatimae kuonekana nani miongoni mwao ana uwezo wa kutengeneza sanduku la gharama zaidi!Kwa wenye uwezo ,
Kwa wasio na uwezo huzika bila sanduku.
Nimeshawahi kushuhudia vijijini wakristo wakizika bila sanduku sababu uwezo wa kugharimia sanduku hawana!
Mimi nina akili,siamini nguvu za giza. Ninae Mungu mkuu muumba mbigu na nchi. Ninatumia hekima na maarifa. Sio vitu vya kishirikina.Wewe umemtoa nani?
Tatizo watu ukiwa na kitu tofauti na wanavyoamini wao,baaaaaasi hapo ni tatizo. Ni hivi nimesema Mshirikina Babu tale kamtoa kafara mkewe.kafanyaje ahah
Usigenerolaizi bwana. Mimi ni mwanamke na robo tatu. Hatuwezi kuwa na mawazo sawa. Just bicozi iam not in the same wavelength as you eti basi am wikedi. Ohooooooooo.Tukubali kutokukubaliana mimi ni mpakwa mafuta ninajua vitu beyond your capacity. Tofautisha kuwa deep kwenye kijiko na kuwa deep kwenye pacific ocean. Yes am wicked.....Kwani wewe unaongeza ama kupungukiwa nini ?Kipe Yayo...ma camarade na ngai.Victoire You have a wicked heart! Wanawake hatuko hivyo jamani, watu humu hawakwambii tu sijui wanaogopa utawaatack [emoji3] Acha hiyo roho wewe mwanamke!
Hahahaha ,HahahahaNimepitia comments za Uzi mzima nimejifunza Kitu kimoja. Watanzania tuna roho mbaya sana ...
Mitandao ya kijamii imewapa vilaza uwanja wa kufunua ujinga waoUmu mapimbi wengi uyo dem kaanza kuumwa siku nyingi sana
Nimepitia comments za Uzi mzima nimejifunza Kitu kimoja. Watanzania tuna roho mbaya sana ...
Yaan wanakera sana, hawajui huyu mtu ana Ulozi wa PhD
Nimekumiss upo,Kwa kweli..unasoma comment unabaki mdomo wazi.
Binadamu tuwe na kiasi na akiba ya maneno.. tusinene tukamaliza.
Ts Jf dea, Relaaaaaaaaaaaaaaaax [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe dada sijui kaka utakuwa ndio mganga mwenyewe sio bure..M/Mungu akusamehe.