cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Kuna nyuzi huku na alikiri mwenyewe kuwa ni mshirikina Kuna Uzi wa 2015 mwingine 2018.vipi una ushahidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nyuzi huku na alikiri mwenyewe kuwa ni mshirikina Kuna Uzi wa 2015 mwingine 2018.vipi una ushahidi?
Kabisa mkuu, karibu jamviniYou're right my Princess... hujakosea sana wala nini, coz' sometimes nakuwepo kama hivi but sometimes nikiingiza mitini inakuwa jumla! All in all, happy kwamba uko poa!
Ajajaajajaaaa [emoji28]Tatizo watu ukiwa na kitu tofauti na wanavyoamini wao,baaaaaasi hapo ni tatizo. Ni hivi nimesema Mshirikina Babu tale kamtoa kafara mkewe.
Hiyo haiwezi kuwa hoja kwa sababu, Wabongo wengi ni Washirikina tu lakini wengi wao ushirikina wao sio wa kuua!Kuna nyuzi huku na alikiri mwenyewe kuwa ni mshirikina Kuna Uzi wa 2015 mwingine 2018.
Kuna Uzi humu wa 2015 baba tale alikiri kuwa mshirikina na mwingine mganga, I wonder why povuUsigenerolaizi bwana. Mimi ni mwanamke na robo tatu. Hatuwezi kuwa na mawazo sawa. Just bicozi iam not in the same wavelength as you eti basi am wikedi. Ohooooooooo.Tukubali kutokukubaliana mimi ni mpakwa mafuta ninajua vitu beyond your capacity. Tofautisha kuwa deep kwenye kijiko na kuwa deep kwenye pacific ocean. Yes am wicked.....Kwani wewe unaongeza ama kupungukiwa nini ?Kipe Yayo...ma camarade na ngai.
Nipo man, full kama zote!! Kwa muda nimehama siasani na kukumbuka jukwaa langu la long time kitambo!!chige upo?
Sasa waja wame connect dot kiurahisi tu kulingana na yeye ushirikina wake, pia ni kweli watu wengi bongo ni washirikina Sana na Kuna wengine Hawa practice kabisa.Hiyo haiwezi kuwa hoja kwa sababu, Wabongo wengi ni Washirikina tu lakini wengi wao ushirikina wao sio wa kuua!
Tofauti kati ya hao Wabongo wengine na Tale ni kwamba, wakati Tale anakiri hadharani, wengine watakuambia hawajawahi hata kufikiria kwenda kwa mganga wakati si ajabu hao ndo wakawa washirikina wakubwa kuliko hata huyo Tale!
Pili, siku show ya Diamond imevurugika Ujerumani, Tale bila aibu akaoneshwa kufurahishwa kwake kutokana na kuvurugika huko kwa kile alichoamini itawapa publicity! Tale ni mfuasi mzuri wa "There is no such thing as bad publicity... publicity is just publicity"
Ni kutokana na hilo, ndo maana si ajabu kabisa kumsikia Tale hadharani akikiri kufanya ushirikina kwa sababu anafahamu baada ya hapo wataongelewa tu!
Tale hana tofauti na Fella... wote hawa, kwao "there's no such thing as bad publicity"! Ni kama Lulu Diva alivyowahi kumlipa TID a-publicise eti ana mtoto mmoja kijijini kwao lakini kamtelekeza!
Ni kama ambavyo miaka kadhaa nyuma Dully Syke wakati anasumbuliwa na utoto, aliwahi kutangaza alivamiwa na watu eti wakataka kumlawiti"
Siku ukidhani kuua ni rahisi kiasi hicho, fanya kufikiria kuua hata mtu baki let alone kuua mtu unaye-share nae pumzi! Yaani muamini kaua eti kisa tu huko nyuma alishawahi kusema huwa anaenda kwa waganga!!! Kwenda kwa waganga ingekuwa ndo kuweza kuua mbona familia nyingi zingekuwa zimefutika!!!
jf sikuhizi imefika burundi tayari??Tulia mbwa ww husinifundishe utu makuzi ww..
Binafsi nitakuwa wa mwisho kuamini Tale anaweza kumuua mke wake... the guy loved his wife for real though hiyo haiwezi kuwa excuse! Ninachoamini, kuua/kupoteza mke si jambo dogo! Mtu anaweza kupata wazimu wa kuua mtoto kuliko mke!Sasa waja wame connect dot kiurahisi tu kulingana na yeye ushirikina wake, pia ni kweli watu wengi bongo ni washirikina Sana na Kuna wengine Hawa practice kabisa.
So babu tale yeye ku confess ndo kumemfanya watu wahisi hivo na wengine kuhusisha na ubunge, na ukute wife wake kafa natural death kabisa.
Pia nimejifunza in this life si kila Jambo la ku confess Bora kupiga kimya chako maisha yaendelee
Thanks D, and here am I!Kabisa mkuu, karibu jamvini
Asee poleni zake.Habari zilizotufikia punde ni kuwa mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Hamisi Tale au Babu Tale) aitwaye Shamsa Tale almaarufu kama Shammy Nails amefariki.
Pole kwa familia ya Babu Tale maana ameacha watoto wadogo.
View attachment 1490835
View attachment 1490828
Labda wewe/nyie mimi bado nipo aisee.Duh Mungu aifanyie roho yake wepesi, yeye mbele sisi nyuma, siku yetu nayo yaja.
Kwa kigezo kipi? Si ajabu unavuta keshoLabda wewe/nyie mimi bado nipo aisee.
Konyoooo!!!Kwa kigezo kipi? Si ajabu unavuta kesho
Ujue kifo tumeumbiwa wanadamu na hutokea kwa yoyote yule kibongo ukipata janga tu tayari limehusishwa na uchawi wakati Mambo mengine hutokea natural bila mkono wa mtu yoyote, I do believe kwa Tale naye hvo hvo ni natural death maana mtu kuacha watoto vile ni msiba mkubwa nimeona na kushuhudia inavokuwa mtihani mkubwa.Binafsi nitakuwa wa mwisho kuamini Tale anaweza kumuua mke wake... the guy loved his wife for real though hiyo haiwezi kuwa excuse! Ninachoamini, kuua/kupoteza mke si jambo dogo! Mtu anaweza kupata wazimu wa kuua mtoto kuliko mke!
Kuhusu Wabongo na ushirikina, niligundua hili jambo years back... nilipata tatizo ambalo lilinitoa kabisa kwenye reli!
Ajabu, hata Washikaji ambao sikuwahi kabisa kuwadhania, na wenyewe wakawa wananishauri niende kwa Waganga!
Ukirudi kwa ndugu, na sie Waswahili tuishio Uswahilini ndo taabu tupu!!
Mtu ambae aliniweza, alikuwa ni my ex! Kwanza huyu alikuwa very supportive kwenye mitihani niliyokuwa nimekumbana nayo! On top of that, she's dah... very decent and humble to the point nilishindwa kabisa kumkatalia!
Sasa kuna siku akaja home akasema kuna Sheikh keshamlipa, na huyo Sheikh aliwahi kumsaidia kakake; kwahiyo niende tu Sheikh atafanya mambo!!!
Sipendi kuwa mnafiki; ingawaje mimi ni Mwislamu but I don't trust these so-called Sheikhs wakiongeza uganga kwenye CV zao! Sasa nikawa njia panada, huyu my ex- ni very supportive, na mbaya zaidi keshamlipa the so called Sheikh... what should I do!
Nikaamua kwenda kwa sababu kuu 2, mosi the girl ni Mkatoliki Damu, na pili nikaamini inawezekana akawa Sheikh kweli kwa sababu niliamini there's no way huyu mrembo angenipeleka kwa mganga!
Kufika kwa sheikh sasa... advertize ya kwanza kuna madrasa! Nikapata nguvu! Later on akaleta vijana wake pale wakajifanya kusomasoma, walipokuja kuniboa, muda nataka kuondoka nikapewa kidumu cha lita 5, ndani sijui kuna madudu gani sijui... eti nikaoge kwa siku 7!
Nikajua hawa ndo wale wale!!!
Sasa nikikumbuka kile kipindi, kila unayekutana nae, hakuna cha maana anachokuambia "...kule kuna mzee fulani!" "Mkuranga, kuna bibi fulani!" Kuna mshikaji alishawahi kunilipia hadi nauli eti niende Tanga!!!!
Tukirudi kwa Tale, kingine kinachomsumbua ni shule! Kichwa kikiwa cheupe unaropoka chochote bila kujali consquences zake hapo baadae ingawaje uropokaji na wenyewe kwa wengine ni kipaji cha kuzaliwa nacho!! Matokeo yake, ndo kama ulivyosema, hivi unaepukaje tuhuma za ushirikina wakati amekuwa akiongea hata mwenyewe hadharani!!
Sasa wewe Ni zaidi ya kilaza habari ya msiba unaingiza CCM tena? Umejidhihirisha Ni mjingaCcm imejenga fikra za watu maskini kuwachukia waliowazidi kiuchumi
Haswaaaaah [emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Tatizo watu ukiwa na kitu tofauti na wanavyoamini wao,baaaaaasi hapo ni tatizo. Ni hivi nimesema Mshirikina Babu tale kamtoa kafara mkewe.
Hujuhi? UtajuHa tuMillard ayo huyu mchizi sijawahi kumkubali, sijuhi kwanini na yule anasoma story book yaani siwaelewi tu
Nisameheni tu
We msichana upo kwenye ndoa mpya na Mwarabu kwahiyo hata sokoni anaenda yeye, nini?! Mbona umeadimika hivi?!